hongera sana mzee wa rula.......!
wiselady hongera yako nitakupa lini?:smash:[/QUOTE
Hata mie najiuliza lini lakini mama wa busara?
Hongera sana mwana familia mwenzetu wa JF mzee wa rula na familia yako!
Natambua kuwa Mungu amewajalia mtoto wa kike jana jumapili saa 6.30 mchana hapo Selian (LMC) Arusha.
Tunawaombea mama na mtoto afya njema,,zaidi tunamuombea mtoto akue ktk maadili mema.Hongera sana!
WL

congratlation mzee wa rula for ur baby girl may Allah look her after everry second of her life inshalah..View attachment 25056
hongera sana mzee wa rula.......!
wiselady hongera yako nitakupa lini?:smash:
hongera sana mzee wa rula.......!
wiselady hongera yako nitakupa lini?:smash:[/QUOTE
Hata mie najiuliza lini lakini mama wa busara?
Back to ze topic!
Afu na wewe mbona wamtesa mtoto wa mwanamke mwenzio vile?...hujui kuwa mtoto wa mwenzie na mama yako ni rafiki yako?
mpe jina lng awe kama mie