Hongera mzee wa rula kwa kupata babygirl!!!!

Hongera mzee wa rula kwa kupata babygirl!!!!

WiseLady

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2010
Posts
3,268
Reaction score
531
Hongera sana mwana familia mwenzetu wa JF mzee wa rula na familia yako!

Natambua kuwa Mungu amewajalia mtoto wa kike jana jumapili saa 6.30 mchana hapo Selian (LMC) Arusha.

Tunawaombea mama na mtoto afya njema,,zaidi tunamuombea mtoto akue ktk maadili mema.Hongera sana!

WL
 
hongera sana mzee wa rula.......!

wiselady hongera yako nitakupa lini?:smash:
 
Hongera sn kiongozi wetu MZEE wa RULA...Mkuu, pia pole kwa mihangaiko ya suala hili. Tuko pamoja kama samaki na maji.!
 
mungu mkubwa tunashukuru kwa hilo
Hongera sana mwana familia mwenzetu wa JF mzee wa rula na familia yako!

Natambua kuwa Mungu amewajalia mtoto wa kike jana jumapili saa 6.30 mchana hapo Selian (LMC) Arusha.

Tunawaombea mama na mtoto afya njema,,zaidi tunamuombea mtoto akue ktk maadili mema.Hongera sana!

WL
 
congratlation mzee wa rula for ur baby girl may Allah look her after everry second of her life inshalah.. images.jpg
 
Hongera sana Mzee wa Rula.

Mungu awape afya njema Mama na Mtoto
 
Hongera sana mwana familia mwenzetu wa JF mzee wa rula na familia yako!

Natambua kuwa Mungu amewajalia mtoto wa kike jana jumapili saa 6.30 mchana hapo Selian (LMC) Arusha.

Tunawaombea mama na mtoto afya njema,,zaidi tunamuombea mtoto akue ktk maadili mema.Hongera sana!

WL

Aisee, hawa watoto wa kike nani atawaoa? Mbona wanaongezeka kwa kasi namna hii?

Hongera Mzee wa Rula kwa matumizi mazuri ya viungo vyako na vya mama watoto wako vilivyotuletea mwanamwali bikira.

BTW: Wiselady...kwanini unawaombea afya njema Mama na Mtoto peke yao? Baba unamnyanyapaa?
Hebu tuhabarishe afya ya baba inaendeleaje bana....acha masihara!!!!!!
 
Hongera sana Mzee wa Rula...Muda si mrefu nitaleta posa Mungu akijaalia....
 
Hongera Sana Mzee wa Rula, Mungu Mkubwa!! Nawatakia familia yote afya njema na Furaha tele...!!
 
Mzee wa rula anasema kwamba anaruhusu watu kumtumia muda wa maongezi tu... pamperz alishaziandaa mapema!
 
Back
Top Bottom