Hongera mzee wa rula kwa kupata babygirl!!!!

Jamani hiyo bold ni macho yangu au nimepasoma vibaya. Hebu mtu mmoja anisomee kwa sauti tafazali.

Mi naogopa!

Ha ha ha! ni macho yako wala hujasoma vibaya,,,lol! najua ni kawaida yako kuogopa leo ntaondoa huo uoga,,,,lol
 
Hongera sana Mzee wa Rula
Shukrani za pekee zimwendee mwenyezi mungu kwa kufanikisha haya yote.
baraka zaidi kwa mtoto na family kwa ujumla.
Thanx WiseLady
 
Tumekusikia haya ondoka haraka nenda upeleke uji na mtori kwa mama hospitali. Huku unatafuta nini bana mda mrefuuuuuuuuu
 
Nisaisie kiongozi, kama hilo jimbo liko wazi nivunje ukimya, niondoe woga afu nitangaze nia.
Kifupi ni jimbo la ukweli balaa, nitakujuza mkuu kama kambi ya upinzani haijalisomba. Tehe tehe tehe.
 
Tumekusikia haya ondoka haraka nenda upeleke uji na mtori kwa mama hospitali. Huku unatafuta nini bana mda mrefuuuuuuuuu
Nipo na PC kwa hospital, wala usiogope nimesharudi tayari na maziwa, mtori upo hapo hapo wanapewa DA.
 
Nisaisie kiongozi, kama hilo jimbo liko wazi nivunje ukimya, niondoe woga afu nitangaze nia.

Ukishafanya yote hayo, mwisho kbsa wasiliana na jamaa ambae sitamtaja(kwa heshma yake), lkn jina lake linaanzia na KI....na kuishia na ,..Y , na huwa linaandikwa na marangi mekundu!
 
PJ hiyo ni Rula balaa, yaani KI...Y! Huwa anaandikia maandishi mekundu, anipe mji akikosa jibu kwa mujibu wa dondoo zako.
 
Mzee wa WikiLiks habari yako bana, Hata mimi namtafuta huyo jamaa asee ngoja nifanye Google search!! lol
 
Ukishafanya yote hayo, mwisho kbsa wasiliana na jamaa ambae sitamtaja(kwa heshma yake), lkn jina lake linaanzia na KI....na kuishia na ,..Y , na huwa linaandikwa na marangi mekundu!

ha ha ha!me love this,,,one compliment for u...............
 
PJ hiyo ni Rula balaa, yaani KI...Y! Huwa anaandikia maandishi mekundu, anipe mji akikosa jibu kwa mujibu wa dondoo zako.
Mzee wa Rula hebu achana na Laptop bana, cheki jikoni hapo Supu ya mama inamwagika bana!
 
Tumekusikia haya ondoka haraka nenda upeleke uji na mtori kwa mama hospitali. Huku unatafuta nini bana mda mrefuuuuuuuuu
Huyu jamaa ni moja ya walioathilika na JF jana kanipigia simu kuniuliza nini kinaendelea JF nikamwambia sijaingia JF na sikujua kama mke wake amejifungua daah kweli JF kiboko..kuna mmoja pia alichaomba ban
 
Mzee wa Rula hebu achana na Laptop bana, cheki jikoni hapo Supu ya mama inamwagika bana!
Mkuu nipo hospital yaani namnywesha mama kamtori si unajua tena! Upo juu maana ungekuwa mvivu usingefika page hii.
 
Huyu jamaa ni moja ya walioathilika na JF jana kanipigia simu kuniuliza nini kinaendelea JF nikamwambia sijaingia JF na sikujua kama mke wake amejifungua daah kweli JF kiboko..kuna mmoja pia alichaomba ban

Ha ha ha Crashwise hata wewe unanisema pembeni?? Jamani sawa bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…