Hongera mzee wa rula kwa kupata babygirl!!!!

Hongera mzee wa rula kwa kupata babygirl!!!!

Msindima,
Mgonjwa wetu huyu atabaki hospitali nadhani kwa siku 3 kuanzia jana...
Hivyo waweza kumpitia ukamtafuta na kusalimiana nae...Wasiliana na MwaR akuelekeze Ward No!
...right?
Ward No. 8B Maternity.
 
Ok kaka hamna shida, vipi wifi yangu bado yuko hospital? maana bado mgonjwa wangu yuko hapo ili nikija nimwone.
Bado yupo Ward No. 8B Maternity nami muda huo nitakuwepo nilitoka kidogo. I hope no zangu unazo kama ukikwama.
 
Kwetu sisi, yeyote kati baba au mama akikasirika maziwa hayatoki kwa mtoto.
Hebu mwache kwanza huyu jamaa na hayo makesi yenu, mtamalizana mtoto akikua... kama ni hela sema unamdai shiing' ngapi nikufowadie fasta!-
Ila kama n mambo ya NANIHINO miye simo...jadilianeni mpate muafaka!
Nashukuru kwa kuwa balozi wangu, ile adhabu niliplann kukupa nimeifuta rasmi sasa.
 
Nilianza hivi
Mzee wa Rula akanipa matumaini.

Hapa nilikuwa nataka uhakika

Kama kawaida, mzee wa rula alikuwa kambi yangu

Mara akaibuka WikiLeaks kufichua tuhuma nzito

Kama kawa mzee wa rula akawa kambi moja na babu

Mara jimbo likawa wazi tayari kwa babu kulitwaa


Mara akatokeza mnoko flani wa usalule.
Kumbe jimbo lina mwenyewe!...Hii KI.....Y ndio inamiliki hili jimbo kumbe.


Babu anarudi kitandani kulala akisubiri jimbo mojawapo liwe wazi ajaribu bahati yake.
Asprin umenifurahisha sana, nadhani umeconclude kuwa jimbo lina mweyewe. Kama ni hivyo isikuume mkuu, majimbo kibao bora uwe na sera za uhakika kwa sababu uchaguzi wenyewe siyo wa rais kiasi kwamba hata ukishinda watu fulani wapo nyuma ya mshindwa kuhakikisha anashinda. Tehe tehe tehe.
 
Safi sana JF tumeongeza member, Hongereni Baba na Mama wa huyo new Member!!!
 
Hongera Mzee wa Rula.
Mungu awalinde nyote.
Ampe mtoto afya njema,
Akue, aongezeke uzito,
Ufahamu na nguvu.
Ampendeze Mungu na wanadamu pia.
Naomba akubali duwa yako, Ameeen.
 
Kumbe dola 500 tu ndo mnataka mtoto akose nyonyo aisee?.....Nenda kaangalie account yako, au kama unakuwa notified kwa simu utakuwa umepata alert.
Usiwasumbue tena eeh!

Ukiwa na viongozi kama hawa 10 nchi imeendelea, ameshani PM kuwa fedha kapata na kesi imefutwa mkuu.
 
Aika Mbe!!, Aika sana aisee!! na wewe karibu Usalule!
Kimey baba yaaangu aithee kumbe tupo majiranii kabithaa halafu hatujuani, basi uje umshike mtotoo mama akishatoka wodini mkuuu. Aikambee sana mekuuuu.
 
Hongera Mzee wa Rula, hivi wiselady hongera yako nitakupa lini????
 
All the best to the baby and mother, congratulations sir.

Note: ulitakiwa uwe paternity leave kusaidia mama na kuzoea mtoto, pumzika janvini!
 
Hongera sana mkuu. Mungu amfanye mtoto huyo kuwa baraka kwenu na kwa jamii nzima.
 
All the best to the baby and mother, congratulations sir.

Note: ulitakiwa uwe paternity leave kusaidia mama na kuzoea mtoto, pumzika janvini!
Ndiyo ninachokifanya yaani ni kutupa mawe kwa kwenda mbele!
 
Back
Top Bottom