Hongera mzee wa rula kwa kupata babygirl!!!!

Namaanisha muda wa mtori umefika.

Ila wewe nina kesi na wewe kubwa sana sijui utaimalizaje

Kwetu sisi, yeyote kati baba au mama akikasirika maziwa hayatoki kwa mtoto.
Hebu mwache kwanza huyu jamaa na hayo makesi yenu, mtamalizana mtoto akikua... kama ni hela sema unamdai shiing' ngapi nikufowadie fasta!-
Ila kama n mambo ya NANIHINO miye simo...jadilianeni mpate muafaka!
 
Ha ha ha! ni macho yako wala hujasoma vibaya,,,lol! najua ni kawaida yako kuogopa leo ntaondoa huo uoga,,,,lol
Nilianza hivi
Atapewa kitu mkuu, kwani mkuu ulikuwa unataka kuwania jimbo?
Mzee wa Rula akanipa matumaini.

Nisaisie kiongozi, kama hilo jimbo liko wazi nivunje ukimya, niondoe woga afu nitangaze nia.
Hapa nilikuwa nataka uhakika

Kifupi ni jimbo la ukweli balaa, nitakujuza mkuu kama kambi ya upinzani haijalisomba. Tehe tehe tehe.
Kama kawaida, mzee wa rula alikuwa kambi yangu

Ukishafanya yote hayo, mwisho kbsa wasiliana na jamaa ambae sitamtaja(kwa heshma yake), lkn jina lake linaanzia na KI....na kuishia na ,..Y , na huwa linaandikwa na marangi mekundu!
Mara akaibuka WikiLeaks kufichua tuhuma nzito

PJ hiyo ni Rula balaa, yaani KI...Y! Huwa anaandikia maandishi mekundu, anipe mji akikosa jibu kwa mujibu wa dondoo zako.
Kama kawa mzee wa rula akawa kambi moja na babu

Usiniwekee kauzibe basi au,,,,,,,,
Mara jimbo likawa wazi tayari kwa babu kulitwaa

Mzee wa WikiLiks habari yako bana, Hata mimi namtafuta huyo jamaa asee ngoja nifanye Google search!! lol
Mara akatokeza mnoko flani wa usalule.
ha ha ha!me love this,,,one compliment for u...............
Kumbe jimbo lina mwenyewe!...Hii KI.....Y ndio inamiliki hili jimbo kumbe.


Babu anarudi kitandani kulala akisubiri jimbo mojawapo liwe wazi ajaribu bahati yake.
 
Hongera Mzee wa Rula.
Mungu awalinde nyote.
Ampe mtoto afya njema,
Akue, aongezeke uzito,
Ufahamu na nguvu.
Ampendeze Mungu na wanadamu pia.
 

Ha ha ha ha ha PJ wewe namdai dolla 500 tu. Tuma kwa Dena Amsi Kimolo GOSS kwa Western Union au Money Gram
 

utaacha lini uoga,,ukitishwa kidogo tu unarudi kitandani🙂🙂🙂
 
Ha ha ha ha ha PJ wewe namdai dolla 500 tu. Tuma kwa Dena Amsi Kimolo GOSS kwa Western Union au Money Gram
Kumbe dola 500 tu ndo mnataka mtoto akose nyonyo aisee?.....Nenda kaangalie account yako, au kama unakuwa notified kwa simu utakuwa umepata alert.
Usiwasumbue tena eeh!
 

Hongera sana mkuu, natumai Mungu atawategemeza , Binafsi nimeguswa na nimekumbuka mbali.
 

Hongera sana mkuu, natumai Mungu atawategemeza , Binafsi nimeguswa na nimekumbuka nikiwa kwenye harati kama hizo mwaka jana mh yatosha kusema hongera.
 
Kumbe dola 500 tu ndo mnataka mtoto akose nyonyo aisee?.....Nenda kaangalie account yako, au kama unakuwa notified kwa simu utakuwa umepata alert.
Usiwasumbue tena eeh!

My God??? IM sory and out
 
Hongera sana Mungu awajalie afya njema familia nzima ya Mzee wa Rula
 
HONGERA SANA MKUU. Ninamwomba Mungu akujalieni watoto wema, maisha ya furaha na baraka.
 
Ok kaka hamna shida, vipi wifi yangu bado yuko hospital? maana bado mgonjwa wangu yuko hapo ili nikija nimwone.
Msindima,
Mgonjwa wetu huyu atabaki hospitali nadhani kwa siku 3 kuanzia jana...
Hivyo waweza kumpitia ukamtafuta na kusalimiana nae...Wasiliana na MwaR akuelekeze Ward No!
...right?
 
Kumbe ndo maana.............
Hongera sana Mzee wa rula, hope mama na mtoto wako salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…