Hongera Navy Kenzo siku mbili views milioni moja

Hongera Navy Kenzo siku mbili views milioni moja

Nitakuja kuangalia ukifika views 5m kwa sasa ngoja nisome comments za shabiki maandazi.
 
Video sijaitazana ila tayari nimeshaipenda Sana'a tena sana
 
Katika wasanii wapumbavu ni mond haiwezekan wimbo wa mtu uufanye wako utawale stage kiasi kile bila aibu
 
Wewe ndiye mpumbavu+mjinga.
Acha wivu wa kijinga, kumbuka hata ukimwonea wivu vipi hutachukua fedha zake au nafasi yake katika jamii.
Je, unajua mwenye wimbo amenufaika nini kwa uwepo wa huyo Diamond?
Je, mkataba wao unaujua?.
Roho mbaya na wivu havijawahi kumsaidia mtu tangu dunia iumbwe.
Katika wasanii wapumbavu ni mond haiwezekan wimbo wa mtu uufanye wako utawale stage kiasi kile bila aibu
 
Na huyo Diamond tu, je wangemshirikisha Ali Kiba? Saa hizi ingekuwa na views 50, 000, 000
 
Back
Top Bottom