Nmecheka sana.ushauri mzuri maana wamefunikwa na daiKuna ukweli hapaView attachment 883408
Yawezekana waliombana msamaha kimyakimyaHongera kwao navykenzo kwa wimbo wa KATIKA umefikia watazamaji Milioni moja ndani ya siku mbili na bado unashika nafasi ya kwanza kwa kutazamwa Tanzania.
Na bila kusahau clouds media wamempost diamond kwa Mara ya pili baada ya ile ya davido.
Hongera kenzo navy.View attachment 883223View attachment 883225View attachment 883226
Katika wasanii wapumbavu ni mond haiwezekan wimbo wa mtu uufanye wako utawale stage kiasi kile bila aibu