Nitoe pongezi kubwa sana kwa spika wa bunge mh Ndugai kuandaa mechi ya wabunge wapenzi wa Yanga na Simba kwani tumeshuhudia wabunge wa chama tawala na wa upinzani wakipeana mikono kwa raha na bashasha kubwa hivyo kupunguza chuki zilizokuwa zimejijenga.
Naona unakosa uelewa kwani wabunge wote wa jmt wapo chini ya uongozi wa spika hapa hatuhitaji kuingiza mambo ya itikadi tunazungumzia mshikamano wa kitaifaBi mdanga alikuwepo vipi hawakususia? Mh. Ndugai hajaandaa hiyo mechi tafuta kumbukumbu vyema hata records za kuandaa mechi za namna hii hana.
Huo ni mwanzo tu kama kuna uhakika kama wapenzi wa majimaji na Azam wanaweza kucheza na kuvutia watazamaji hivyo wakaingia uwanjani na kupata kiingilio cha kutoshaNi jambo jema ila kwa kweli halijakaa vizuri.
Bunge ni la kitaifa, na timu zipo nyingi hapa Tanzania. Sasa wengine wanaweza kuuliza (kwa haki kabisa kabisa!), kwa nini Yanga na Simba? Hivi Azam, Majimaji etc, wanajisikiaje?
Huo ni mwanzo tu kama kuna uhakika kama wapenzi wa majimaji na Azam wanaweza kucheza na kuvutia watazamaji hivyo wakaingia uwanjani na kupata kiingilio cha kutosha
Ndio uhuru wa kujieleza huo mkuuJibu zuri. Mi sidhan kama wabunge wa azam na majimaji wamekatazwa.nao wnaweza panga week ijayo mechi then bila shaka wataruhusiwa. Watu wana ulalamishi wa kijinga kweli. Na mitanzania ndivyo ilivyo.
Yaani naamini watakao anzisha machafuko hapa nchini ni uvccm
Muwache ujinga wa kutaka kuligawa taifa kwa umahamuma wenu huo
Hivi wewe mbona unazidi kujivua nguo?hili tatizo la waathirika wa tetemeko hujui kuwa ni muhimu kuliko huo ujinga unao ushabikia?Au nyinyi uvccm mlifurahia wenzetu kupatwa na hilo janga?Mlipotoa Maazimio mkayatangaza mlikuwa mnalijenga?
Hivi wewe mbona unazidi kujivua nguo?hili tatizo la waathirika wa tetemeko hujui kuwa ni muhimu kuliko huo ujinga unao ushabikia?Au nyinyi uvccm mlifurahia wenzetu kupatwa na hilo janga?
Mungu atawalaani nyie wote uvccm mnao furahia majanga yaliyo wakuta wananchi wenzetu wa kagera kisa kuendekeza itikadi na uchu na uroho wa kuitawala nchi.mungu atawalaani na kuwashushia mapigo makuu vichwani mwenuNdio sababu wakati mnatoa Azimio la kutoshirikiana na CCM mlipaswa Mjue kuwa kuna Maswala ya kitaifa ushirikiano ni Muhimu na tulipokosoa Azimio lile nyinyi mkaliunga Mkono sasa Leo mnalikimbia!
Jitahidini kutoa Maazimio machache mnayoweza kuyasimamia
Mungu atawalaani nyie wote uvccm mnao furahia majanga yaliyo wakuta wananchi wenzetu wa kagera kisa kuendekeza itikadi na uchu na uroho wa kuitawala nchi.mungu atawalaani na kuwashushia mapigo makuu vichwani mwenu