900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 7,704
- 9,186
Isaya 58:6-7 Je! Saumu niliyoichagua, siyo ya namna hii? Kufungua vifungo vya uovu, kuzilegeza kamba za nira, kuwaacha huru walioonewa, na kwamba mvunje kila nira? Je! Siyo kuwagawia wenye njaa chakula chako, na kuwaleta maskini waliotupwa nje nyumbani kwako? Umwonapo mtu aliye uchi, umvike nguo; wala usijifiche na mtu mwenye damu moja nawe? kwanza hakuna neno Easter katika BibiliaHivi Biblia inasema nini kuhusu kufunga kabla ya Easter?
Wiki iliyopita takwimu zilionyesha nyumba za wageni zimejaa sana, sasa kafanye utafiti leo na kesho halafu na siku zilizobaki za wiki hiiWasalaam
Ndugu zetu waislamu wameanza mwezi mtukufu tangu tar 2...wanatimiza moja kati ya nguzo muhimu katika imani yao
Chanda chema huvishwa Pete...tangu wenzetu wameanza mwezi mtukufu,mwamko unauona ni mkubwa sana,watu wa kada mbalimbali,wakubwa kwa watoto,hata wale tunaowaweka kwenye makundi hatarishi kama wahuni,nao wakionekana kujitahidi...heko
Wakristo tunaanza Mfungo Jtano ya majivu ya wiki hii (hasa wakatoliki)
Ajabu muitikio wa kufunga huwa mdogo...huwa tunasingizia kufunga sio mpaka chakula kufunga ni matendo mema...sote tunajua kufunga ni namna tunayouadhibu mwili kwa kuukatalia vikali katika yale ambayo ungedai ni haki yake kama...vyakula,vinywaji,ashki,mazoea tunayoyapenda mfano burudani na michezo
Haya wakati mwingine yametusonga kiasi tumekosa tafakari kwa Mungu...mungo husaidia waliowahi kufunga mashahidi
Tusifunge pale tunapokuwa tumebananishwa na hali ngumu kama uchumi,maradhi na kadhia mbali mbali kubwa au ndogo
Tuweke uwe ni utaratibu wa kujiunganisha na Mungu...kumbuka pamoja na dini zetu...bado binadamu anatakiwa ku connect kwa namna ya pekee na Mungu wake
Hongera waislamu wakristo tuige na tubadilike
NB:Shetani akimghiribu mtu anampa na kisingizio kuhalalisha ughiribu wake...wako watakuja na hoja...ooh waislamu hawafungi wanabadili ratiba ya kula...owk basi ninyi mnajua kufunga...tuwaoneshe wenzetu
Ukweli funga yao ni nzuri na Mungu anaipokea
Haijasema moja kwa moja tufunge kabla ya pasaka...lakini maadhimisho haya yanatufanya twende katika mfano ule ule wa Bwana wetu Yesu Kristo karibu na kupokea matesobna hatimae ufufukoHivi Biblia inasema nini kuhusu kufunga kabla ya Easter?
Ni imani kongwe na nzuri inayoshikilia maadilia kwa kiasi kikubwaKwan ukristu nayo ni dini Au ni kamradi kakubwa kakubwa
Hii ni kufuruSawa, ila wapiga nyeto wote peponi..!! Maana kupiga nyeto ni kitendo cha 'KIMUNGU"..!!
Acha wakatoliki tubaki na upekee wetu na waislamu wabaki na upekee wao.Hatuwezi kufanana.Hivi Biblia inasema nini kuhusu kufunga kabla ya Easter?
Ujinga ni pale mwafrika anapolinganisha utamaduni upi ni bora kati ya tamaduni za waarabu na tamaduni za wazungu wakati yeye utamaduni wake kautelekeza.Tukisema ukweli bils kua na upendeleo kipi katika masuala ya dini, wakristo wameziidi hao wavaa kobazi (waislamu)
Kwenye mazishi wako excellent kwenye ndoa hata masikini muislamu ano oa, kwenye ibaada wana swali mara tano kwa siku, kwenye kutoa zakat masikini hujaa nyumba zao za ibaada kwa sababu wanajua wanatoa pesa na chakula, likija suala la kufunga mwezi wao hata muislamu mlevi mvuta bagi atafunga au atajificha,
je sisi wakuristo hao watu tuna wazidi nini kwenye dini? Au tuseme dini yao ina uhalisia.
ajabu uislam uliukuta ukristo upo hata mtume wa shetan allah muhamad alilelewa na wakristo alipata ridhiki kuptia wakristo ajabu waislam hawawapend wakristo huku wakiwahusudu waganga na wabudha au wahindu huwez skia wakilumbana nao wao wako busy na wakristo tu ajabu wanaladhimishia MUNGU wa wakristo ndo allah ktu ambacho si kweli kbsKwan ukristu nayo ni dini Au ni kamradi kakubwa kakubwa
Wasalaam
Ndugu zetu waislamu wameanza mwezi mtukufu tangu tar 2...wanatimiza moja kati ya nguzo muhimu katika imani yao
Chanda chema huvishwa Pete...tangu wenzetu wameanza mwezi mtukufu,mwamko unauona ni mkubwa sana,watu wa kada mbalimbali,wakubwa kwa watoto,hata wale tunaowaweka kwenye makundi hatarishi kama wahuni,nao wakionekana kujitahidi...heko
Wakristo tunaanza Mfungo Jtano ya majivu ya wiki hii (hasa wakatoliki)
Ajabu muitikio wa kufunga huwa mdogo...huwa tunasingizia kufunga sio mpaka chakula kufunga ni matendo mema...sote tunajua kufunga ni namna tunayouadhibu mwili kwa kuukatalia vikali katika yale ambayo ungedai ni haki yake kama...vyakula,vinywaji,ashki,mazoea tunayoyapenda mfano burudani na michezo
Haya wakati mwingine yametusonga kiasi tumekosa tafakari kwa Mungu...mungo husaidia waliowahi kufunga mashahidi
Tusifunge pale tunapokuwa tumebananishwa na hali ngumu kama uchumi,maradhi na kadhia mbali mbali kubwa au ndogo
Tuweke uwe ni utaratibu wa kujiunganisha na Mungu...kumbuka pamoja na dini zetu...bado binadamu anatakiwa ku connect kwa namna ya pekee na Mungu wake
Hongera waislamu wakristo tuige na tubadilike
NB:Shetani akimghiribu mtu anampa na kisingizio kuhalalisha ughiribu wake...wako watakuja na hoja...ooh waislamu hawafungi wanabadili ratiba ya kula...owk basi ninyi mnajua kufunga...tuwaoneshe wenzetu
Ukweli funga yao ni nzuri na Mungu anaipokea
Wewe ni mkristo?Tukisema ukweli bils kua na upendeleo kipi katika masuala ya dini, wakristo wameziidi hao wavaa kobazi (waislamu)
Kwenye mazishi wako excellent kwenye ndoa hata masikini muislamu ano oa, kwenye ibaada wana swali mara tano kwa siku, kwenye kutoa zakat masikini hujaa nyumba zao za ibaada kwa sababu wanajua wanatoa pesa na chakula, likija suala la kufunga mwezi wao hata muislamu mlevi mvuta bagi atafunga au atajificha,
je sisi wakuristo hao watu tuna wazidi nini kwenye dini? Au tuseme dini yao ina uhalisia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkimaliza kushinda njaa kwa mwezi mzima mnarudi kubeti, kudhulumu, kusengenya , kutapeli [emoji1005][emoji1005][emoji1005]
Una uhakika wanaume na wanawake huwa hawachanganyiki msikitini?Ongezea na wanasali kwa utulivu hawana mambo ya sebene kama la yesu ibadani, wala kukata viuno ibadani, Wala mapaja nje, Wala kuchanganyika na wanawake, wanavaa stara. Nk