Hongera ndugu zetu Waislamu. Wakristo tujifunze kwa hili kutoka kwa ndugu zetu

Hahaha 😆

Mkuu umetisha...lakini baadhi tunafunga ...tena sio kwaresma tuu...ila ukweli huo unatuchoma kabisa wakristo
 
” Yesu akasema: “Wala mimi sikuhukumu kuwa na hatia. Ondoka uende zako ... Ninyi mnahukumu kulingana na mwili;+ mimi sihukumu mtu yeyote hata kidogo.+ ...
Huu mstari hauna maana yoyote kulingana na mada husika...

Unafiki upo hivi... "wanafunga kwa kujionesha mbele ya watu kwamba wao ni wacha Mungu ilihali ndio wahuni wa kudumu...

Wapo pale mjengoni Dom, wezi wakubwa, wazinzi, mafisadi halafu wanaandaa futali eti wapo kwenye mfungo ilihali fedha walizoiba hawarudishi...

Hapo hapo mnawaponda wasiofunga kwa kujionesha mbele za watu..

Huo ni unafiki mkubwa, hakunaga cha mwezi mtukufu bali siku zote (miezi yote) ni utukufu coz ni za Mungu.

Waambie warudishe walivyopora ndio wafunge
 
kisilamu silamu umepatia!
YESU KATUFUNDISHA NAMNA YA KUFUNGA!
👇🏽👇🏽
Matthew 6:16-18
[16]Tena mfungapo, msiwe kama wanafiki wenye uso wa kukunjamana; maana hujiumbua nyuso zao, ili waonekane na watu kuwa wanafunga. Amin, nawaambia, wamekwisha kupata thawabu yao.

[17]Bali wewe ufungapo, jipake mafuta kichwani, unawe uso;

[18]ili usionekane na watu kuwa unafunga, ila na Baba yako aliye sirini; na Baba yako aonaye sirini atakujazi. Kuhusu Hazina
 
Na pasaka unayosherehekea utaratibu aliweka nani...au mna utaratibu wenu
Hizo ni calender tu na taratibu zilizowekwa kulingana na taratibu zilizokuwepo...
Ila kwenye BIBLIA hakuna kifungu kinacholazimisha mfungo wa pamoja.
"Kwa resma is catholic"
 
Mkuu hapo taswira nzima ni kwamba gharama ya ndoa ya kiislamu ni ndogo sana kiasi kwamba kuoa ni kuepesi sanaa hata bila kupitisha michango kwa ndgu na marafiki.
Ni maamuzi binafsi tu, maana hata wao kuna za hivyo kibao tu.
 
 
Hizo ni calender tu na taratibu zilizowekwa kulingana na taratibu zilizokuwepo...
Ila kwenye BIBLIA hakuna kifungu kinacholazimisha mfungo wa pamoja.
"Kwa resma is catholic"
Ratiba na utaratibu wa sherehe zote za kikristo kwa wakristo wa magharibi zimeratibiwa na wakatoliki


Hii ni pamoja na calendar tunayoitumia sasa...

Iko hivyo katika wakristo wa mashariki wao wamebadili tarehe tuu ila namna na mfumo wa imani ni wa wakatoliki

Sikulazimishi ufuate mambo ya wakatoliki...ila kuutusi ukatoliki ni kukosa adabu...mfumo na vitu vingi vinavyokutambulisha wewe kama mkatoliki msingi wake ni Katoliki...vinginevyo kuwa mbudha...au asiyeamini kabisa
 
Uislamu haujaanza kwa Muhammad uislam ulianza kabla hata ya Adam.. na baada ya kizazi cha Adamu mpka wewe hapo leo hii tunakuita (Bin Adam) neno la kiarabu lenye maana ya ukoo wa adam..

Waislam tunawapenda nyie wote Ndio maana muislam akikuonyesha tabasam ni mafundisho kuwa anapata baraka Kwahyo msiogope hampo wakiwa

Mimi binafsi simjui Mungu wa wakristo ni yupi maana man miungu mitatu roho nafsi na mwana sasa sijui nyie mnamuabudu Mungu yupi
 
Ni imani kongwe na nzuri inayoshikilia maadilia kwa kiasi kikubwa
Maadili gani? Au unasema imeshika madili ya kupiga pesa za masikini? Imani kongwe ilianza lini?

Maadili ya kutangaza ndoa za jinsia moja kufungwa makanisani??

Maadili ya wanawake kuingia na nguo za kubana mili Yao makanisani kama kwenye dangulo na mwanaume halisi akae pembeni na mwanamke mrembo nguo zinaonyesha muomba yake na akili ikae Sawa labda shoga..

Maadili gani mnayo ona kwenu ni maadili zaidi ya kuvaa Vitop mbele ya baba mzazi

Maadili wanaume kidume kuvaa vipuli na kufuga kucha kusuka nywele na kushinda studios ndo maadili hayo? Au uhanithi?
 
Mkuu hapo taswira nzima ni kwamba gharama ya ndoa ya kiislamu ni ndogo sana kiasi kwamba kuoa ni kuepesi sanaa hata bila kupitisha michango kwa ndgu na marafiki.
Sidhani kwamba kuna mtu anapangiwa gharama za kuoa. Unaweza kufunga ndoa kwa gharama unayotaka wewe, uwe muislam, mkristo etc
 
Tofauti kubwa ni kwamba ibaadat kwa mkristo ni hiari kwa muislamu ni lazima haina mjadala tena.
Jambo linalomhusu Mungu muumba wako linakuwaje hiari?ukifanya hiari maana yake unajipangia wakati haujajiumba mwenyewe
 
aaahaaha ujue nyie huwa ni wapumbavu sn sn adam na hz dini wp na wp mkiulizwa uhusiano wa adam na uislam mnaleta tafsiri ya neno islam ni unyenyekevu so mtu akiwa mnyenyekevu ndo muislam huyo sidhan kama mna akili timamu aisee tafsiri ya neno imekuwa ndo kuslimisha kila mtu iyo kuran ilikuwa wp wkt muhamad analelewa na wakristo bahati nzuri hata hadithi za muhamad znathibitisha mfuasi wa kwanza wa uislam ni muhamad na mkewe khadija halafu huku mnadanganya watu eti uislam ulianzia kwa adam shenzi kbs.
 
ni wapi biblia imeandkwa kwmb ushoga ni sawa,nguo fupi kanisan ni sawa,kusuka kwa mwanaume ni sawa nionyeshe hata kifungu kimoja ndan ya biblia knachounga mkono hayo. Pili je hakuna waislam wanaume wanaosukap? Hakuna wanaovaa mavazi ya hovyo? Diamond anajenga mpk miskiti na amesuka au ni mkristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…