hongera nduguzangu wa tanzania.ngoma ndio hio.

hongera nduguzangu wa tanzania.ngoma ndio hio.

Kaeni chonjo, Tanzania ya viwanda inakuja na Helikopta uchwara.
 
The effort requires to be embraced, congratulations
 
Wabongo kweli wamekosa kazi zingine za kufanya...? Hii ni hatari sana kwa afya yao..
Mashine ya kusaga hiizz
 
***
HAPANA ILE NZURI INATENGENEZWA ARUSHA//
HII NI MBUNIFU WA MTAANI HUKO SONGWE MBEYA AMETENGENEZA....
Arusha hii hapa
1467864000198.jpg
 
Hivi,ile article ilisema chopper inatengenezwa na chuo cha ufundi cha Arusha,au na Adam Garage?stop jealous you Kenyans!
 
Usije kupotoka iliyo zingumzwa ipo arusha na bado kufanyia test na sio hiyo ya fundi garage aliye amua kutengeneza toy lake

Haijawahi kuwa rahisi hivyo.Itaungurumia hapo hapo chini ila kupaa na kwenda mbele ni kimbembe.Kwanza huo uzungukaji wa hilo panga sidhani hata kama wakikanyaga mafuta mwisho linaweza fua upepo wa kuamsha hilo sanduku hapo chini.Walilipeleka kwenye maonyesho nadhani ni haya ya sabasaba ambako nako iliunguruma ikiwa chini.Nilidhani angeingia rubani aipaishe izunguke uwanja kuwafurahisha wananchi ambao walikuwa wengi tu kumbe nayo ni kilema wa ardhini tu na asie sogea.Engine ya noah urefushe shaft ya panga,uigeuze engine iangalie juu na kuifungia panga kubwa hivyo itazunguka kwa mwendo mdogo sana.Kutokana na uzito wa panga bearing ya kuzungusha panga itazidiwa uzito na kuchemka na itajum mapema sana.Kutokana na uzito wa panga haiwezi kufua upepo wa kuiamsha hapo chini sembuse kukadiria mwendo na utumiaji wa mafuta angani.Simkatishi tamaa mtengenezaji ila walishajitokeza hata wa redio huko Geita na watengeneza bunduki na bastola hawakupewa msaada wowote na serikali na hawasikiki tena.Tunawasubiri hao wa Arusha hiyo 2018 huenda wao wakaja nayo Dar na kutua nje ya ofiai ya sayansi na teknolojia.
 
Back
Top Bottom