Shule ni issue ya ndani. Kitaifa haina maanaHata shuleni hakuna haja ya kuwa inaandaliwa orodha ya mwanafunzi wa kwanza hadi wa mwisho kwenye mitihani ya shule na pia reports za mwisho wa muhula kutaja nafasi.
Sababu ni hiyo hiyo ya kushindanisha wanafunzi kutoka mazingira tofauti siyo ushindani sawia.
Wengine walidumaa toka utoto wao huku wengine mboga draft since day one.
Mitihani iwe kupima uwezo siyo kushindanisha.
Nchi nyingine wameshaondoa hiyo, muhimu ni kuelewa kile ulichofunzwaHata shuleni hakuna haja ya kuwa inaandaliwa orodha ya mwanafunzi wa kwanza hadi wa mwisho kwenye mitihani ya shule na pia reports za mwisho wa muhula kutaja nafasi.
Too irrelevantTunapongeza Serikali kwa hatua hii nzuri sana kwa sababu zifuatazo
- Inaondoa presha kwa wazazi na wanafunzi pia
- Inaondoa wimbi la wizi wa mitihani
- Inaondoa shule kupandisha ada kwa sababu ya ufaulu
- Hii hatua SERIKALI naipongeza sana wizi wa mitihani kwa udanganyifu utaisha
- Sasa watoto watapata elimu sahihi