Nyie wa mkoani mambo ya dsm hayawahusu [emoji23][emoji23]Sisi tuliopo mikoani tuwekee picha basi
To be honest, nilimbeza Makalla, nilisema hataweza kuondoa wamachinga, smenishangaza kwani zoezi limefanyika kwa amani na upendo na jiji limependeza.Naomba niungane na wana dsm wengine kumpongeza mkuu mkoa dsm kwakweli umeweza unastahiri nishani na pomgezi ilikuwa sio kazi nyepesi kurudisha jiji katika hali yake baada jiji kuwa ovyo kabisa.
Sasa Dar inawaka manzese leo unaangusha sindano unaiona kongore kwa timu nzima ya mkoa
Ila ushauri muwashirikishe ngazi ya chini kama wenyeviti serikali za mitaa ili kusimamia kila mtaa wake vibanda visilejee tena maana watanzania tuna mambo ya kujaribu jaribu ataanza mmoja tu wengine wakiona kimya wanarudi kama mwanzo
Hongera sana mh makala
Wako
Mwanadar es salaam
Dar yenyewe mkoaNyie wa mkoani mambo ya dsm hayawahusu [emoji23][emoji23]
Hangaya alisema Wamachinga ni mradi kamili.To be honest, nilimbeza Makalla, nilisema hataweza kuondoa wamachinga, smenishangaza kwani zoezi limefanyika kwa amani na upendo na jiji limependeza.
Ushauri wangu;
1. Makalla awaite aongee nao watoe madukuduku yao ili kupunguza mukari usijelipuka baadae..na awasikilize changamoto mpya.
2. Samia naye aitikie wito wao na kukaa nao kama wanawe, awatiw moyo kuvumilia makazi mapya na aahidi kuwasaidia, hapo atawaweza
Kwamba hawatarudi? Hiyo pongezi ingesubiri muda upite kidogo.Naomba niungane na wana DSM wengine kumpongeza mkuu mkoa kwakweli umeweza unastahili nishani na pongezi ilikuwa sio kazi nyepesi kurudisha jiji katika hali yake baada jiji kuwa ovyo kabisa.
Sasa Dar inawaka Manzese leo unaangusha sindano unaiona kongole kwa timu nzima ya mkoa.
Ila ushauri muwashirikishe ngazi ya chini kama wenyeviti Serikali za Mitaa ili kusimamia kila mtaa wake vibanda visirejee tena maana watanzania tuna mambo ya kujaribu jaribu ataanza mmoja tu wengine wakiona kimya wanarudi kama mwanzo.
Hongera sana RC Makalla
Wako
Mwanadar es salaam
Ni Matumaini yangu makubwa huyu RC wako wa Dar es Salaam mwana Simba SC lia lia Mwenzangu na Shabiki Kindakindaki Mwenzangu wa Miziki ya Kikongo ( hasa Bendi yetu ya Wenge Musica BCBG yake JB Mpiana ) Mheshimiwa Amos Makalla ameshaenda Kwao Morogoro 'Kujiganga' ili Makombora ya 'Kiuchawi' kutoka kwa Wamachinga yasimkute na Kummaliza mazima kama Mkuu wa Mkoa Mwenzake fulani ambayo hata Maji ya Viroba yalipewa Jina lake.Naomba niungane na wana DSM wengine kumpongeza mkuu mkoa kwakweli umeweza unastahili nishani na pongezi ilikuwa sio kazi nyepesi kurudisha jiji katika hali yake baada jiji kuwa ovyo kabisa.
Sasa Dar inawaka Manzese leo unaangusha sindano unaiona kongole kwa timu nzima ya mkoa.
Ila ushauri muwashirikishe ngazi ya chini kama wenyeviti Serikali za Mitaa ili kusimamia kila mtaa wake vibanda visirejee tena maana watanzania tuna mambo ya kujaribu jaribu ataanza mmoja tu wengine wakiona kimya wanarudi kama mwanzo.
Hongera sana RC Makalla
Wako
Mwanadar es salaam
Makala alichofanikiwa ni kuwatumia viongozi wa serikali ya mitaa ndio walioendesha hili zoeziTo be honest, nilimbeza Makalla, nilisema hataweza kuondoa wamachinga, smenishangaza kwani zoezi limefanyika kwa amani na upendo na jiji limependeza.
Ushauri wangu;
1. Makalla awaite aongee nao watoe madukuduku yao ili kupunguza mukari usijelipuka baadae..na awasikilize changamoto mpya.
2. Samia naye aitikie wito wao na kukaa nao kama wanawe, awatiw moyo kuvumilia makazi mapya na aahidi kuwasaidia, hapo atawaweza
Naomba niungane na wana DSM wengine kumpongeza mkuu mkoa kwakweli umeweza unastahili nishani na pongezi ilikuwa sio kazi nyepesi kurudisha jiji katika hali yake baada jiji kuwa ovyo kabisa.
Sasa Dar inawaka Manzese leo unaangusha sindano unaiona kongole kwa timu nzima ya mkoa.
Ila ushauri muwashirikishe ngazi ya chini kama wenyeviti Serikali za Mitaa ili kusimamia kila mtaa wake vibanda visirejee tena maana watanzania tuna mambo ya kujaribu jaribu ataanza mmoja tu wengine wakiona kimya wanarudi kama mwanzo.
Hongera sana RC Makalla
Wako
Mwanadar es salaam
Ni mbinu nzuriMakala alichofanikiwa ni kuwatumia viongozi wa serikali ya mitaa ndio walioendesha hili zoezi