mtabaki kusikiaga tuWalisemaga eti jamaa hajui kuogelea ila nashauri naye akapime DNA maana takwimu za siku hizi sio nzuri saaaana
wivu ni kitu kibaya sana na cha kuepukwa.Ahakikishe anasoma kwa bidii, bahati ya ujanja ujanja aliyoipata asidhani na huyo atairithi naye.
Mungu mkali😀Swafiiii sana
Hakika ni shangwe, hongera sana
mnapenda kusikia😀wabongo bwanaHuyu ndio alisemwa alitumia gharama za serikali kwenda kupandikiza mtoto India
Kwani lengo la uzi huu ni mahususi kwa kupongeza kila mtu?wivu ni kitu kibaya sana na cha kuepukwa.
povu la nini sasa kama unashindwa kupongeza pita kimya kimya.
Hajui kuogelea ??? Ina maana ganiWalisemaga eti jamaa hajui kuogelea ila nashauri naye akapime DNA maana takwimu za siku hizi sio nzuri saaaana
Wewe wakati anajifungua mkewe ulikuwapo hospital au na wewe umesikia?mnapenda kusikia😀wabongo bwana
Nimeshauri kwa nia njema, suala la DNA sio la mtu mmoja, ni la kawaida sanamtabaki kusikiaga tu
mbona hata nyie mnaojua kuogelea takwimu za DNA zinawahusu
DNA ni za kwake zilikamuliwa na kupandikizwa kwa mamaNimeshauri kwa nia njema, suala la DNA sio la mtu mmoja, ni la kawaida sana
Kwani ameshazaliwa huyo mtoto au badoDNA ni za kwake zikikamuliwa na kupandikizwa kwa mama
Kwani lengo la uzi huu ni mahususi kwa kupongeza kila mtu?
Mkuu natumia akili zaidi kuliko kusikia....nyie mnaopenda kusikia badilikeniWewe wakati anajifungua mkewe ulikuwapo hospital au na wewe umesikia?