Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Umofia Kwenu wana JF,

Ndugu Daudi Albert Bashite Alias Paul Makonda amepata mtoto wa kiume leo.Habari za kuvuja mke wake ana mimba ya kupandikizwa kutoka china zilivuja kwa mara ya kwanza kwenye page ya dada wa taifa.

Hongera sana Paul Makonda.
Kwahiyo mke kazaa tayari au ana mimba ya mtoto wa kiume
 
Kwahiyo mke kazaa tayari au ana mimba ya mtoto wa kiume
Kashajifungua mkuu "Habari za kuvuja mke wake ana mimba ya kupandikizwa kutoka china zilivuja kwa mara ya kwanza kwenye page ya dada wa taifa"

Zilivuja - Past
Zimevuja - Present.
Zitavuja - Future
 
Kashajifungua mkuu "Habari za kuvuja mke wake ana mimba ya kupandikizwa kutoka china zilivuja kwa mara ya kwanza kwenye page ya dada wa taifa"

Zilivuja - Past
Zimevuja - Present.
Zitavuja - Future
Kuumbe, ila artificial insemination ni simple tuu, kitaalamu zaidi, so its ok km ameopt for that, as long as is his baby
 
MUNGU NI MWEMA amesikia sala na hitaji lake kwa wakati aliopendezwa nao. Hongera sana
 
RGforever inabidi ujuwe kitu kimoja kuhusu Mange.....yule dada hajuwi kitu ila anachapisha tu habari anazoletewa na watu ambao wanaweza kuwa wanasiasa, wambea, wanafiki, wachekeshaji tu wa umma, watafuta sifa, ama marafiki wa mtu husika na ndicho kinachomfanya Mange asifike. Si kila habari anayoandika Mange ni ya ukweli, nyingi ni za umbea tu ila yeye kuzaa na baba yake ni ukweli mtupu.
Ukitaka matusi toka ufipa,hoji mange kuzaa na baba ake.
 
Makonda hawezi kupiga mimba kwa hiyo madaktari ilibidi wamsaidie. Kwavile katumia pesa za wavuja jasho wa taifa ili kupandikizia mimba, basi huyu mtoto ni wetu sote
 
Huu ni udhalilishaji si uishie kupongeza tuu ,mungu ambariki mh Makonda na familia yake ,mtoto akakue kwa kima na hekima kama baba yake huku akiziharibu kazi za yule mwovu shetani.

Jamani mambo ya utu tusiweke mambo binafsi .

Dogo akikua jina litamsumbua sababu ni feki
 
Back
Top Bottom