Nelson Mwombeki
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 2,933
- 3,397
Kwahiyo mke kazaa tayari au ana mimba ya mtoto wa kiumeUmofia Kwenu wana JF,
Ndugu Daudi Albert Bashite Alias Paul Makonda amepata mtoto wa kiume leo.Habari za kuvuja mke wake ana mimba ya kupandikizwa kutoka china zilivuja kwa mara ya kwanza kwenye page ya dada wa taifa.
Hongera sana Paul Makonda.