myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
heri nusu shari...Raha ya mimba iingilie kwenye 6x6 si test tube bwana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heri nusu shari...Raha ya mimba iingilie kwenye 6x6 si test tube bwana
KK zimeongezeka, Kenzo, Keanu na sasa Keagan, shangazi mtu Da Mange sheb is very happy.Da Mange kasemaje?[emoji3]
sikuona nyota kwa shoulder ila naamini wewe ni soldier
ni wa albert bashiteBila shaka ni wako!
Kajala kalala na Bashite..jamaa hana risasi mnabisha nini..alitaka kumpa mtoto ikashindikana..jamaa lepwelepwe hizo mbegu zinatoka vipikama nawaona kilivyowakaba mnatokwa mapovu tu
Da Mange ana watatuhahahahaha habari hii mbaya sana kwa Da Mange
le mutuzBora awe mchina jibu litapatikana, mbaya akimfanana kijakazi wa RC.....
Uuuuuwwwwwiiiiiii.....[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Kunataarifa zinapenya kama tetesi kwamba..... Eti jana kuna mamajusi walienda kumuona mtoto wa Prince, na walicho kikuta huko......le mutuz
mbowe ndio angeteketea-BASHITE alijiaribia katika tukio la Roma aliposema kwamba atapatikana ndani ya siku tatu na kweli Roma akapatikana.
-SIku mbili Kabla Ben Saa8 hajapotea alikuwa na miahadi ya kukutana na BASHITE.
-Ikumbukwe kwamba Ben alikuwa anamtuhumu "JIWE" kwamba ana PHD feki na kwa kauli ya juzi ya BASHITE akimwambia STONE kwamba hao wanaomsema amwamchie yeye atamalizana nao,BEN KAPOTEA hajulikani alipo,Bashite ndio anamalizana na watu wanaomsema ANKALI?
-BEN alipata 1 Point 7 Olevo,Advance One Point 3 alikuwa anasoma PHD lakini watu wachache tu wasiopenda ukweli wamempoteza,hakika wazazi wa BEN ni wavumilivu ingekuwa mimi ningetumia hadi senti ya mwisho yeyote aliyeshiriki katika kumpoteza angeteketea iwe kwa mwendo wa farasi au kinyonga wote wangesonga MBELE YA HAKI.
Nimesema yeyote aliyeshiriki hata kama ni MBOWE,ile issue haichagui nani wa kupiga nani wa kuacha,wewe ukisema mtu yeyote aliyeweka mkono wake kwenye kupotea kwa FLANI basi TEKETEZA yenyewe inalima tu.mbowe ndio angeteketea
Hapo ndo mnapokosea... KWA HIYO MNAHITAJI WAPONGEZAJI TU..!!!wivu ni kitu kibaya sana na cha kuepukwa.
povu la nini sasa kama unashindwa kupongeza pita kimya kimya.