Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Hongera Paul Makonda kwa kupata mtoto wa kiume

Hongera Jamhuri ya watu wa China kutuzalishia mtoto

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Da Mange kasemaje?[emoji3]
KK zimeongezeka, Kenzo, Keanu na sasa Keagan, shangazi mtu Da Mange sheb is very happy.

Ila mtoto ni wa mama siku zote, upande wa Baba mama ndio anajuwa baba wa mtoto.

Zamani ukiwa na shida ya uzazi mwanamke alikuwa anaenda kupigwa kipara na mtu mnayefanana ili mtoto akizaliwa kusiwe na maswali.

Mfano wa JK na Membe wanavyofanana, mmoja akicheza faulo kwa mwingine haiwezi kugundulika kamwe.
 
Kunataarifa zinapenya kama tetesi kwamba..... Eti jana kuna mamajusi walienda kumuona mtoto wa Prince, na walicho kikuta huko......
Naomba kuwasilisha, maana Dahhh[emoji29] [emoji53]
download.jpeg
 
-BASHITE alijiaribia katika tukio la Roma aliposema kwamba atapatikana ndani ya siku tatu na kweli Roma akapatikana.
-SIku mbili Kabla Ben Saa8 hajapotea alikuwa na miahadi ya kukutana na BASHITE.
-Ikumbukwe kwamba Ben alikuwa anamtuhumu "JIWE" kwamba ana PHD feki na kwa kauli ya juzi ya BASHITE akimwambia STONE kwamba hao wanaomsema amwamchie yeye atamalizana nao,BEN KAPOTEA hajulikani alipo,Bashite ndio anamalizana na watu wanaomsema ANKALI?
-BEN alipata 1 Point 7 Olevo,Advance One Point 3 alikuwa anasoma PHD lakini watu wachache tu wasiopenda ukweli wamempoteza,hakika wazazi wa BEN ni wavumilivu ingekuwa mimi ningetumia hadi senti ya mwisho yeyote aliyeshiriki katika kumpoteza angeteketea iwe kwa mwendo wa farasi au kinyonga wote wangesonga MBELE YA HAKI.
 
Kuna wanaume na wanawake wanahangaika kusaka watoto kila siku, kuna wajinga wengine wanazitoa sana
 
Hatimaye naye apata mtoto wa kambo wa kulelea ni vema kabisa namfurahia huyo mama maana asingefanya juhudi angebaki kuwa tasa
 
-BASHITE alijiaribia katika tukio la Roma aliposema kwamba atapatikana ndani ya siku tatu na kweli Roma akapatikana.
-SIku mbili Kabla Ben Saa8 hajapotea alikuwa na miahadi ya kukutana na BASHITE.
-Ikumbukwe kwamba Ben alikuwa anamtuhumu "JIWE" kwamba ana PHD feki na kwa kauli ya juzi ya BASHITE akimwambia STONE kwamba hao wanaomsema amwamchie yeye atamalizana nao,BEN KAPOTEA hajulikani alipo,Bashite ndio anamalizana na watu wanaomsema ANKALI?
-BEN alipata 1 Point 7 Olevo,Advance One Point 3 alikuwa anasoma PHD lakini watu wachache tu wasiopenda ukweli wamempoteza,hakika wazazi wa BEN ni wavumilivu ingekuwa mimi ningetumia hadi senti ya mwisho yeyote aliyeshiriki katika kumpoteza angeteketea iwe kwa mwendo wa farasi au kinyonga wote wangesonga MBELE YA HAKI.
mbowe ndio angeteketea
 
mbowe ndio angeteketea
Nimesema yeyote aliyeshiriki hata kama ni MBOWE,ile issue haichagui nani wa kupiga nani wa kuacha,wewe ukisema mtu yeyote aliyeweka mkono wake kwenye kupotea kwa FLANI basi TEKETEZA yenyewe inalima tu.
 
Hongereni sana Paul na maria. hakika Mungu ni mwema sana.
 
Back
Top Bottom