Hongera Prof Sedoyeka, mafisadi wanapambana nawewe kwa kuziba mianya ya wizi na tenda zisizo na tija kwa Taifa. Vumilia

Wakiweka online na undergraduate open watakuwa wameizika mazima kabisa. Open imekuwa kama malaya wa mtaani hana mwenyewe lakini IAA wanajitahidi sn kuanzia customer care n.k, acha tuwape mau yao mapungufu mengine ni ya kibinadamu tu.
Wakituhusu undergraduate online open itazikwa. Course walizonazo ni package inayoendana na mahitaji ya sasa
 
Wakituhusu undergraduate online open itazikwa. Course walizonazo ni package inayoendana na mahitaji ya sasa
Open haina ubunifu, pia IAA wanafundisha kama vile upo main campus tofauti na Open unaachwa mwenyewe mpk siku ya mitihani pekee ndiyo utaona mwalimu, Open ubunifu ni zero kabisa, kwa kasi ya IAA open ndiyo basi tena iwe tawi la IAA.
 
IAA online itaiua Open University, watu wengi wanasoma IAA online(masters) kuliko Open university
Open university chuo kina skendo za hovyo kibao , hapa juzi tu walikamata watu wengi wakifanyia wngine mtihani ...Watu sio wanaenda open kwa ufanisi bali ni ile hali yake kurahisishwa wanataka kusoma online .

Kama kutakuwa na vyuo kama 5 vinavyotoa online , basi open kitakosa watu kabisa .
 
Ni bora ukatulia kuangalia tatizo na kuchambua tuhuma , usipende personal attacks huko kwa wenzetu hata professor wenye akili anaweza kunyongwa .

Unahitaji akili sio kukariri ili kufuata sheria , kawaida lengo la sheria kuweka usawa ...Hoja unazoletewa hazina maana kwamba mtu mwenye elimu ndgo hawezi kuhoji matatizo yake ?
 
Achana na vyuo 5, IAA wakiweza kuwa na matawi kila mkoa RIP open, Open walimu hawahangaiki kabisa na wanafunzi wao huwa wanasubiri tu siku Za mitihani basi. Nadhani management yao ni mbovu sn. Hongera IAA
 
IAA kwa sasa ndio chuo kimbilio,wamwache Sedo ainyooshe!
 
wakina sedoyeka wamenyooka sana yuko mmoja kaka yake sua anwachanaga live management wakija na mambo yao ya vyeo vya kupeana makabila
 
Ingawaje kwa kiasi fulani amejitahidi kujibu baadhi ya hoja kwa usahihi, lakini bado kuna baadhi ya hoja ambazo anapaswa azitolee ufafanuzi wa kina zaidi, hususani kuhusu suala hili la Uhamisho wa Ndani wa huyo Mtumishi mwenye taaluma ya manunuzi kwenda Idara ya Maktaba.
1. Kama lengo lilikuwa ni kuongeza ufanisi kwenye Idara hiyo ya Maktaba, Je, ni kwa nini Mtumishi huyo aliyehamishwa hakupewa na Maainisho ya Majukumu yake Mapya (Job Descriptions mpya) wakati alipohamishiwa huko Maktaba??
2. Kwa kuwa Mtumishi huyo hakupewa New Job Descriptions, maana yake ni kwamba Majukumu yake yale yale ya awali aliyopangiwa na Mwajiri wake ndiyo anapaswa kuendelea nayo akiwa huko kwenye Idara mpya ya Maktaba alikohamishiwa. Sasa; Je, kwa nini Mtumishi huyo apangiwe majukumu mengine Mapya kabisa kinyume na taaluma yake aliyosomea na kinyume kabisa na majukumu yake ya awali ambayo alipangiwa na ambayo pia ndio sababu za Msingi zilizopelekea Mtumishi huyo kuajiriwa na hiyo taasisi? So Where is the purpose of Professionalism and Job Specialization for the Job-seekers or Employees?? Je, kulikuwa na sababu gani ya kumuajiri Mtumishi mwenye sifa hizo za taaluma ya Manunuzi wakati kazi zake au majukumu yake atakayopangiwa hayaendani na uhitaji wa taaluma hiyo?? Jambo hili ni kitendo cha hatari Sana endapo kama utalifanyia tathmini ya kina Sana.
Yaani Kama vile Utawala wa Hospitali ya Muhimbili Leo hii kwa kutumia njia za holela waamue kuwabadilishia majukumu ya kazi baadhi ya Madereva na kuwapangia Majukumu Mapya ya kazi za Udaktari wa Tiba ya Binadamu na kisha kuwaruhusu Madereva hao waanze kuingia kwenye Vyumba vya Upasuaji Wagonjwa ili waweze kuwafanyia Upasuaji (Surgery) wagonjwa wenye uhitaji wa huduma hiyo!
Ridiculous!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…