Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Vita ya uchumi ni ngumu sanaKumbe ni vita vya kimaslahi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vita ya uchumi ni ngumu sanaKumbe ni vita vya kimaslahi!
Wakituhusu undergraduate online open itazikwa. Course walizonazo ni package inayoendana na mahitaji ya sasaWakiweka online na undergraduate open watakuwa wameizika mazima kabisa. Open imekuwa kama malaya wa mtaani hana mwenyewe lakini IAA wanajitahidi sn kuanzia customer care n.k, acha tuwape mau yao mapungufu mengine ni ya kibinadamu tu.
Open haina ubunifu, pia IAA wanafundisha kama vile upo main campus tofauti na Open unaachwa mwenyewe mpk siku ya mitihani pekee ndiyo utaona mwalimu, Open ubunifu ni zero kabisa, kwa kasi ya IAA open ndiyo basi tena iwe tawi la IAA.Wakituhusu undergraduate online open itazikwa. Course walizonazo ni package inayoendana na mahitaji ya sasa
Kwani hana mamlaka ya kuteua mtu wa kushika nafasi mpaka wa kudumu atakapopatikana? Mkuu wa Kitengo si lazima athibitishwe na mamlaka husika ili aajiriwe katika nafasi hiyo?Amemteua ndugu yake asiye na sifa kuwa mkuu wa kitengo.
Imekaa kama miwani ya mbao kwa watanzaniaIle kamati huwa haina lolote, imewahi kumchukulia hatua nani?
Open university chuo kina skendo za hovyo kibao , hapa juzi tu walikamata watu wengi wakifanyia wngine mtihani ...Watu sio wanaenda open kwa ufanisi bali ni ile hali yake kurahisishwa wanataka kusoma online .IAA online itaiua Open University, watu wengi wanasoma IAA online(masters) kuliko Open university
Ni bora ukatulia kuangalia tatizo na kuchambua tuhuma , usipende personal attacks huko kwa wenzetu hata professor wenye akili anaweza kunyongwa .Working man has no future,maamuzi ya ajabu kwa MTU mchapakazi,ndio maana nataka kuacha kazi ya kuajiriwa nikasimame kama CEO katika miradi yangu,watu wapumbavu wanaotaka kuendesha akili kubwa kwa maslahi Yao binafsi na majungu ya kingese,BILA kuangalia output ya MTU
Nilikuta madada mawili yenye advance diploma na form six yanamsengenya (Dr) nikaona kama wachawi hivi,hadi Leo wamepoteza mvuto Kwangu kazi kuroga tu na kuliwa kwenye magari muda wa kazi
Ni matumizi mabaya ya fedha za ummaImekaa kama miwani ya mbao kwa watanzania
Achana na vyuo 5, IAA wakiweza kuwa na matawi kila mkoa RIP open, Open walimu hawahangaiki kabisa na wanafunzi wao huwa wanasubiri tu siku Za mitihani basi. Nadhani management yao ni mbovu sn. Hongera IAAOpen university chuo kina skendo za hovyo kibao , hapa juzi tu walikamata watu wengi wakifanyia wngine mtihani ...Watu sio wanaenda open kwa ufanisi bali ni ile hali yake kurahisishwa wanataka kusoma online .
Kama kutakuwa na vyuo kama 5 vinavyotoa online , basi open kitakosa watu kabisa .
wakina sedoyeka wamenyooka sana yuko mmoja kaka yake sua anwachanaga live management wakija na mambo yao ya vyeo vya kupeana makabilaTulikuwa tunatafuta Kwanini Prof Sedoyeka amepelekwa tume ya maadili? Tulijiuliza kwanini tume imeweka habari yake kwenye vyombo vya habari? Tulijiuliza kwanini vyombo vya habari vinatoa promo kwenye kesi hizi?
Kupata majibu imetuliazimu kufuatilia kazi alizofanya katika maeneo ambayo amewahi kuongoza na kubaini yafuatayo
1. Prof anapendwa na wale wanaokitakia mema Taifa.
2. Amefanya mabadiliko makubwa chuo cha UHASIBU Arusha IAA.
3. Amefungua matawi mengi ya chuo, ameruhusu elimu masafa na sasa chuo kina wanafunzi wengi wa online nchi nzima.
4. Amekataa kukubaliana na tendering zakupeana na kutaka anayetaka tender awe na sifa ikiwemo mtaji na bei ziwe reasonable.
5. Watesi wake wamejaribu kutumia TAKUKURU na mfumo wa uchunguzi wamekwama na hivyo wameamua kuwa maadili.
Soma Pia: Prof. Eliamini Sedoyeka asomewa tuhuma nne kwenye Baraza la Maadili, azikana zote
Prof nichukue fursa hii kukupongeza na kukutaka usivunjike moyo
Ingawaje kwa kiasi fulani amejitahidi kujibu baadhi ya hoja kwa usahihi, lakini bado kuna baadhi ya hoja ambazo anapaswa azitolee ufafanuzi wa kina zaidi, hususani kuhusu suala hili la Uhamisho wa Ndani wa huyo Mtumishi mwenye taaluma ya manunuzi kwenda Idara ya Maktaba.Tulikuwa tunatafuta Kwanini Prof Sedoyeka amepelekwa tume ya maadili? Tulijiuliza kwanini tume imeweka habari yake kwenye vyombo vya habari? Tulijiuliza kwanini vyombo vya habari vinatoa promo kwenye kesi hizi?