Hongera Profesa Ndakidemi kwa kazi nzuri

Ndagullachrles

Senior Member
Joined
Jun 20, 2023
Posts
153
Reaction score
161
Mbunge wa jimbo la moshi vijijini Profesa Patrick Ndakidemi licha ya kuwepo makundi hasi yanayopambana kuhakikisha yanakwamisha juhudi zake katika kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo lake,msomi huyo anaonekana mwaba kweli kweli,anapambana kuhakikisha anaziba masikio ili atekeleze ahadi zake kwa wananchi.

hivi karibuni amefanikisha mpango wa ujenzi wa Kituo cha Afya kwa wananchi wa kata ya Uru Kusini ambacho ni kituo cha afya cha kisasa kabisa kuwahi kujengwa ukanda huo wa juu kama picha za majengo hayo zinavyoonekana hapo chini
 
Kumbe Moshi Vijijini kuna wajinga hivi?

Pesa itoe Serikali halafu sifa apewe Ndakidemi ambaye alipewa ubunge na JIWE?
 
Yes,
KAZI mzuri Prof.

Usimamizi makini, usimamizi mujarabu wa fedha za Serikali πŸ’

songa mbele piga kazi, usibabaike na deconstructive criticism za wenye gubu,

Kumbuka hakuna jema kwa mwanadamu πŸ’

R I P Laigwanan comrade ENL
 
Hamna kitu Profesa Ndakidemi amefanya huko Moshi vijijini.

Ana hofu ya kupoteza jimbo.
Na huyu aliwekwa na Jiwe
 
Fedha za COVID sio bidii wala juhudi zake vimejengwa nchi nzima na serikali.
Tafuta njia nyingine ya kumsifu.😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…