Hongera Rais Hassan kwa uteuzi wenye ubora wa kimataifa wa Gilead Terri kuongoza TIC

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello hello JF

Ikulu kuna watu na search committee inafanya kazi Mungu wa ajabu sana huyu Dogo Terri ni mnyama sana kichwani nimemuwazia sana na sikujua yuko wapi tangu enzi za TPSF akiwa na Simbeye na Shamte.

I have been praying for him to be remembered to serve this country at some point.

Finally, Rais Hassan, Rais makini sana na watu wake wamemuona Gilead Terri.

Kila la heri ndugu Terri Mungu akipanga wakati unafika.

Ubarikiwe wewe na waliopendekeza jina lako na aliekuteua, Ameen.

Mkali, the brain Terri msiojua awali alikuwa msemaji wa sekta binafsi nchini kabla hajapata fursa kwenda ulaya huko, huyu dogo ni mnyama kichwa cha ukweli.

🙏🙏🙏🙏

Wadiz, 3rd.feb.2023, 10:32pm EAT
 
Kunguni mpo kazini mwaka huu mtasifia mengi mpaka upate teuzi ndio utatilia muulize Suphian toka Enzi ya Magu anahangaika
huo wivu Terri wala hanifahamu ila nilimfatilia sana akiwa msemaji wa TPSF hio kichwa acha kabisa imeiva, subiria aanze kazi utamjua alivo mnyama kichwani.
 
Hello hello JF

Ikulu kuna watu na search committee inafanya kazi Mungu wa ajabu sana huyu Dogo Terri ni mnyama sana kichwani nimemuwazia sana na sikujua yuko wapi tangu enzi za TPSF akiwa na Simbeye na Shamte.

I have been praying for him to be remembered to serve this country at some point.

Finally, Rais Hassan, Rais makini sana na watu wake wamemuona Gilead Terri.

Kila la heri ndugu Terri Mungu akipanga wakati unafika.

Ubarikiwe wewe na waliopendekeza jina lako na aliekuteua, Ameen.

Mkali, the brain Terri msiojua awali alikuwa msemaji wa sekta binafsi nchini kabla hajapata fursa kwenda ulaya huko, huyu dogo ni mnyama kichwa cha ukweli.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Wadiz, 3rd.feb.2023, 10:32pm EAT

Raisi Hassan???
Rekebisha!
 
Pumba tupu teuzi zisizokuwa na tija tokea kawa raisi adi leo teuzi gn iliyokuwa na tija
 
Tujulishe mafanikio yake kwenye sekta binafsi, alikwenda lini na kufanya nini Ulaya na ameteuliwa kuwa nani?
Bosi wa kituo cha uwekezaji nchini kuna uteuzi umetoka leo
 
Hello hello JF

Ikulu kuna watu na search committee inafanya kazi Mungu wa ajabu sana huyu Dogo Terri ni mnyama sana kichwani nimemuwazia sana na sikujua yuko wapi tangu enzi za TPSF akiwa na Simbeye na Shamte.

I have been praying for him to be remembered to serve this country at some point.

Finally, Rais Hassan, Rais makini sana na watu wake wamemuona Gilead Terri.

Kila la heri ndugu Terri Mungu akipanga wakati unafika.

Ubarikiwe wewe na waliopendekeza jina lako na aliekuteua, Ameen.

Mkali, the brain Terri msiojua awali alikuwa msemaji wa sekta binafsi nchini kabla hajapata fursa kwenda ulaya huko, huyu dogo ni mnyama kichwa cha ukweli.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Wadiz, 3rd.feb.2023, 10:32pm EAT
Ris Hassani ni wa nchi gani mkuu?
 
Tuwekee hapa CV yake tuone kama anatosha hapo TIC.
Hello hello JF

Ikulu kuna watu na search committee inafanya kazi Mungu wa ajabu sana huyu Dogo Terri ni mnyama sana kichwani nimemuwazia sana na sikujua yuko wapi tangu enzi za TPSF akiwa na Simbeye na Shamte.

I have been praying for him to be remembered to serve this country at some point.

Finally, Rais Hassan, Rais makini sana na watu wake wamemuona Gilead Terri.

Kila la heri ndugu Terri Mungu akipanga wakati unafika.

Ubarikiwe wewe na waliopendekeza jina lako na aliekuteua, Ameen.

Mkali, the brain Terri msiojua awali alikuwa msemaji wa sekta binafsi nchini kabla hajapata fursa kwenda ulaya huko, huyu dogo ni mnyama kichwa cha ukweli.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Wadiz, 3rd.feb.2023, 10:32pm EAT
 
Tanguliza CV yake wakati tunamsubiria aanze kazi tumjue alivyo mnyama
huo wivu Terri wala hanifahamu ila nilimfatilia sana akiwa msemaji wa TPSF hio kichwa acha kabisa imeiva, subiria aanze kazi utamjua alivo mnyama kichwani.
 
Mh! Na Samia suluhu ni rais was nchi Gani?
Ana majina mangapi na anastahili kuitwa jina gani, Rais huitwa jina lake la mwisho na mimi sipo tayari kubadili utamaduni huu never never
 
Back
Top Bottom