Kweli hamna lisilowezekana chini ya jua .Kitendo cha kumtambua Said Salim Bakhresa na kuamua kumpatia ardhi bure kwa ajili ya kujenga kiwanda cha kusindika matunda ni dhahiri kimeonyesha kuwa Rais anawaunga mkono wawekezaji na pia kitendo hiki kitawavutia wengi kuwekeza katika sekta ya viwanda na kuifanya Tz kuwa nchi ya viwanda