Kwa kweli Rais anastahili pongezi kuliokoa taifa hili. Kipindi kile upinzani ulikuwa kama uko ukimbizini. Jamaa alikuwa katili zodi ya Adolf Hitler.
Nakumbuka mpaka akina Boni Yai walivuliwa Umeya kibabe kisa wapo upinzani ili wasalende. Hata Mwita naye akavuliwa kibabe Umeya kisa yupo CHADEMA.
Kipindi kile ikitikea kuna tv au radio au blog yoyote ikirusha mikutano ya upinzani ama wamiliki wanatekwa au inafungiwa moja kwa moja.
Nakumbuka kulikuwa na mkutano wa CHADEMA kama wa leo pale Mlimani city, bwana mdogo Pplepole aliwapiga mkwara mzito Azam tv kurusha mkutano ule baada ya hapo wakapotea hewani.
Kwa kweli mama umeiokoa nchi hii. Hongera sana