Hongera Rais Magufuli kuipendezesha Ikulu yetu kuliko enzi za Nyerere, Ikulu iwe kivutio cha utalii, restrictions ziondolewe watalii wafurike

Ndoto zako za kuteuliwa zimiyeyuka sababu MEKO kwanza huwa hajiongezi ameshakupotezea sababu anakujua kwa unafikuna wako. Utaishia kupongeza juhudi za mhutu tu.
 
Du !?
 
Kwani kuna haja au ulazima kuwaweka wanyama Ikulu je gharama za kuwahudumia unazifahamu na je zinatoka mfukoni kwa jiwe!? Tafakari hayo
 
Wanabodi,
Hongera sana Rais Magufuli kwa kuendelea kumuishi Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere kwa maneno na matendo, pia tunakuombea utawale kwa muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10.

P
Just imagine, mtu aipendezeshe ikulu yetu hivi, halafu uamue eti anaweza kuhamishwa mtu mwingine ndiye awe mpagaji?!, this will never happen, not in Tanzania

Wahi kwenda kupiga kura yako ili...
P
 
Wanabodi, napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu muda kama wa Nyerere au zaidi hadi pale Mungu atakapoamua!.

tunakuombea utawale kwa muda kama wa Nyerere au kwa kukaribiana tu japo vipindi viwili vya miaka 10/10.

P

Pamoja na kuzunguka sana, lengo lako hasa lilikuwa hapa.
 
Katika vita vya kiuchumi, ukiruhusu utalii Ikulu, Mabeberu watakuja kwa mgongo wa utalii na kukupsndikizia Kansa, Covid n.k. utalii waende Serengeti na mikumi sio ikulu

Labda tu, baada ya kuapishwa, awakaribishe ikulu wagombea wote wa Urais anywe nao chai na kupeana hongera kwa kumaliza kampeni salama

Wagombea hao watapata fursa pia ya kufanya utalii na kukabidhi Ilani zao kwa Rais ili achukue mazuri yaliyomo
 
Wanabodi,

napendekeza Rais Magufuli akae Ikulu muda kama wa Nyerere au zaidi hadi pale Mungu atakapoamua!.
P
Japo Mungu amempenda zaidi, lakini ameacha alama. Tumuenzi kwa kuyaenzi mazuri yake.

RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…