Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Zamani ukifika kambi ya jeshi maafisa we jeshi ni wakumulika kwa tochi. Kambi kubwa ina askari mia 5 lakini maafisa jumla yao utawapata 5 tu. Majukumu yaliyopaswa kufanywa na Meja yalikuwa yanafanywa na Kapteni au Luteni kutokana na kukosekana nguvu kazi.
Lakini sasa hili tatizo linapotea taratibu, kila mmoja atakaa kwenye nafasi yake. Wote tunaona jinsi Rais anavyokasimisha mamlaka maafisa wapya kila baada ya muda mfupi, na kuwwpa nafasi wale wengine kusogea vyeo vya juu zaidi.
Ombi: Wakumbuke polisi; polisi kuna mauzauza mengi sana kwenye suala zima la kupandishana vyeo. Polisi askari au afisa anakaa na cheo kimoja miaka mingi mpaka unajiuliza huyu mtu kagombana na IGP!
Kwa wale ambao hawana hata cheo mnawaita constable sijui wanabaki na u-constable mpaka miaka 10.