jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Kwa miaka mingi wavuvi wa Pwani ya Afrika mashariki walitelekezwa na baadhi yao ilibidi wajiunge na biashara haramu ya kuvua kwa kutumia mabomu au kusafirisha "Sukari"
Leo hii umewatambua na kuwakumbuka kwa kuwapa boti 30+
Ombi langu ni moja tu...wapelekee meli za uvuvi wajiajiri kwenye kazi hii ambayo ni nature yao.
Wapelekee meli kama 20 hivi pamoja na boti kadhaa waende dagoni !!
kwa miaka mingi wamezuiliwa kuvua kwa hoja ya "mabomu" na nyavu za macho madogo .
Mimi ni mvuvi mstaafu !!
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!