Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Wewe unadhani 33% ya Wall street ni hela kutoka wapi?Akili huna, pension funds iwekeze kwenye viwanda? Uliwahi ona wapi hili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unadhani 33% ya Wall street ni hela kutoka wapi?Akili huna, pension funds iwekeze kwenye viwanda? Uliwahi ona wapi hili?
Ahahahahahaha pole mamaOK rudi shule kajifunze kuandika
Kama una miaka zaidi ya 18 na Unaandika kama kuku anayetaka kutaga inafikirisha sana kuhusu Taifa letu
Lakini, Yakupasa kuwa na adabu pia,
Kwa Maelezo yako ni dhahiri wewe ni mtoto uliyetekelezwa na familia yako, Baba na Mama hawajakulea kabisa ndio maana neno Mama unalichukia sana
Pole mkuu kuna tiba ya hali yako ya kuchukia neno Mama, Najua hukupenda kuwa hivyo, Kukosa malezi ya wazazi
Pension funds zinaprovide funding na sio na share kwenye viwanda na daily operations za industry, hujui unaloongea.Wewe unadhani 33% ya Wall street ni hela kutoka wapi?
Hee kumbe nalo lilikuwa stalled? Daa mwendazake na sera za nssf kulima miwa 😆😆😆😆Kwa utaratibu huu ninaomba na jengo la gorofa la hoteli ya Nyota Tano ya NSSF ya Kapri Point Mwanza ikamilishwe mapema ianze kuchangia kwenye uchumi. Rais atupie jicho pale inasuasua sana.
Bei zilikuwa zinaendana na uchumi uliokuwepo,alafu kama sio size yako si unakacha kwani unalazimishwa?Morocco pale haikuwa sahihi sana kupiga chini mradi, isipokuwa NHC wapunguze tu gharama za nyumba zao bei iendane na uhalisia wa maisha ya watanzania walau wa kipato cha kati na juu...
Kigamboni, hivi si kuna wakati serikali ilidai itapiga mnada zile nyumba watu binafsi waziendeleze? Isijekuwa mnada umeshafanyika au lah wanaweka mazingira safi kwa ajili ya mnada kufanyika
Kiwanda cha Mbigiri jeWangewauzia watu binafsi miradi hiyo. Wakisharudisha fedha za pension wawekeze kwenye viwanda.
Ile mieradi ingetoa viwanda vikubwa viwili na kuwapa vijana ajira na hapohapo kutengeneza faida kwenye mifuko ya wastaafu.
Na jamaa mwenye maghorofa Dege aruhusiwe amalizieProject ya kigamboni ni hasara somehow
Lakini hili la Moroco square ile ilikuwa AIBU unaachaje project kama ile mji lzm upendeze kwa majengo mazuri ya kisasa bana ....
Wewe ndiyo hujui unaloongea, pension funds hazikai kwenye kibubu kama unavyofikiria, zinakuwa invested period!Pension funds zinaprovide funding na sio na share kwenye viwanda na daily operations za industry, hujui unaloongea.
Haya tupe mrejesho wa mwenendo wa kiwanda cha mkunazo na miwa, kiwanda cha mabuti wanachoendesha na magereza.
kuliko hela zikae tu bora wawekeze watu wanufaikeOur own money on waste again.
Hii mifuko ni wizi kwa wafanyakazi. Period
Sawa vijengwe tena vingi sana hakuna anayekataa lakini kujifunza kutokana na makosa ni muhimu pia. Viwanda vilishakuwepo na vingi vimekufa sasa kama nchi haijifunzi ikakurupuka kujenga vingine itakuwa si sawa maana viwanda vingine vinajengwa kwa pesa za pensioners zikizamia huko pensioners ndio wanaoathirika kwa kutopata pension zao kama wanavyostahili. Kwenye issue ya viwanda sisasa ziachwe utaalam ndiyo uamue. Tuliambiwa hapa na hayati Tanzania itakuwa nchi ya viwanda miaka michache baadae akawa haongelei tena viwanda sanasana akawa anaongelea miradi ya ujenzi tu, Tanzania ghiliba ulaghai wa wanasiasa unaathiri sana nchi kumove kwenda uchumi wa viwanda.Hata kama hakijaanza kuzalisha, hiyo haimaanishi kuwa viwanda visijengwe.
Itakuwa dhana potofu kufikiria kuwa kwa sababu kiwanda fulani kimeshindwa kuanza kazi basi viwanda visijengwe.