Hongera Rais Samia kwa kusikiliza maoni yetu wanaJF

Unajuaje kama hilo wazo lilikuwepo kabla hamjaanza kujadiliana hapa?
 
Uzi mzuri ila conclusion umezingua.
 
Wanaharibu historia lile jengo ni kumbukumbu unajua vuguvugu la uhuru lilianzia pale na viazi vya chips uzipendazo viliingia Tanganyika kupitia kariakoo kutoka Brazil ndio zikaingizwa na kujaribu kupanda baadhi ya mikoa tanganyika
 
Huo uzi uko wapi?
 
Hongera kwa mawazo endelevu!
 
Coincidence tu!
Mara nyingi mawazo huingiliana/ na kufanana.
Rejea kanuni ya newton raphson method katika numerical analysis, hao watu hawajawahi kuonana ila waligundua njia moja ya kihisabati inayofanana.
Binafsi niliwahi kuwa na wazo fulani, baadae nikaja ona watu wameishalitekekeza kama nilivyiwaza.
Ukiwa na wazo usilifiche maana kuna mwingine anawaza kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…