Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Daraja la wami labdaMmeanza ujinga wenu, wewe umepewa daraja gani?
Itashangaza sana kama Watumishi hawatakuwa na appreciation Kwa Rais maana sio tuu madaraja Bali mwez July wanaenda kuongezewa salary..Pamoja na changamoto za uchumi lakini mama ameingiwa na huruma kwa kuona Wafanyakazi waliodhulumiwa Haki Yao wanarudishiwa....
Kwasababu Ile Miaka 7 iliyopita ilikua ni maumivu kwa wafanyakazi.. Kwamfano mtu aliyeajiriwa mwaka 2014 alipandishwa mwaka 2021!
Kwahiyo Ile Miaka 2015, 2016, 2017, 2018, 2019, 2020 iliyopita kwa dhuluma.... Mama anaifidia... Na Sasa mtumishi huyo atapata daraja analostahili kuanzia alipoanza kazi na hapa alipo,
Hongera mama.
Anasemwa vibaya na mawakala wa mafisadi wa pale bandarini, watu waliozoea miteremko ya wizi na kuihujumu mali yao wenyewe.ukiona kuna mfanyakazi anamsema vibaya huyu Mama Samia jua hana akili vizuri kwakweli