Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

Kwa hiyo waarabu ndo wanakabidhiwa rasimi eneo lao?
Watajitangazia na uhuru kabisa, nchi ndani ya nchi..........baadaye atafuata mchina pale mabaga ya moyoni, tusije jikuta danganyika ikidai uhuru kwa mara nyingine....
 
Vijana wa hovyo na WAHUNI katika ubora wenu.
Ngorongoro yetu ya urithi wanauziwa warabu ndugu zake mama, unashangilia.
Akija Rais mwingine akiwanyang’anya warabu Ngororo yetu , utashangilia. Chawa nyie ni shida.
 
Kwa hiyo mwarabu katoa mpunga masai ajengewe nyumba za kisasa handeni halafu mwarabu akaishi mbugani na wanyama..........sounds clever!
Hapo Mwarabu katoa kama 10B, Ngorongoro tayari imeisha hiyo imeenda kwa Mwarabu
 
Fedha zilitoka kwenye mapato ya Ngorongoro Crater na sio chakula tuu wanasomeshwa mpaka chuo kikuu bure ingawa haiwasaidii kupenda mabadiliko wala maendeleo
Eti tunadumisha mila, mila gani ya kuja kuangaliwa na wazungu sawa na wanyama?
Acheni kupotosha, NGOs za wazungu ndizo zilizokuwa zina msaaada kwa jamii ya kimasai, na bado serikali ikaona haitoshi ikaanza kuwaletea kodi za kipuuzi na matokeo yake baadhi ya NGOs zikaondoa ufadhili.
 
Sio uchawa Kuna wakati lazima ukweli usemwe
Ni kweli lazima tuseme ukweli kwa hilo la ujenzi wa nyumba za kisasa kwa hao wenzetu ni jambo kubwa na jema sana, hao watu wao pekee ndo bado wanaishi kikalekale zama za mawe, imagine wanaishi porini bila makazi Bora, nguo wanavaa mashuka tu, masikio wanaharibu kiasi cha kutia huruma, elimu kwao hakuna hata ya mazingira tu, mifugo hawafugi kisasa kiasi cha kuleta ajira za maana yaani wao ni Bora liende tu mambo ya kujenga uchumi wa Nchi hakuna wao nikutumia nguvu nyingi tu katika dunia ya teknologia, ila namuomba Raisi hizo sehemu za mfano wanazojengewa basi wawekewe na viwanda vya chakula cha mifugo, mashine za kurahisisha ufugaji uwe wa kisasa mfano mashine ya kukamua maziwa Ili wenzao pia wabadilike wainue nyanja zingine za uchumi wa Nchi.
 
We

Wewe ni chawa tu hata akinya huyo mama utasifia mavi tu.
Hizo nyumba wanazojengewa hazijawahi kuwapo hapa tanzania au?
Kwenye kumbukumbu zako ni lini wafugaji waliwai jengewa nyumba tena za kisasa hapa Tanzania?
 
Suala ni kwamba wanakotoka kuna nini kitaendelea? Isijekuwa yajayo ndiyo yaliyosemwa
 
Vijana wa hovyo na WAHUNI katika ubora wenu.
Ngorongoro yetu ya urithi wanauziwa warabu ndugu zake mama, unashangilia.
Akija Rais mwingine akiwanyang’anya warabu Ngororo yetu , utashangilia. Chawa nyie ni shida.
Tupe ushahidi wa Mwarabu kuuziwa Ngorongoro
 
Vijana wa hovyo na WAHUNI katika ubora wenu.
Ngorongoro yetu ya urithi wanauziwa warabu ndugu zake mama, unashangilia.
Akija Rais mwingine akiwanyang’anya warabu Ngororo yetu , utashangilia. Chawa nyie ni shida.
Tupe ushahidi wa Mwarabu kuuziwa Ngorongoro
 
Watajitangazia na uhuru kabisa, nchi ndani ya nchi..........baadaye atafuata mchina pale mabaga ya moyoni, tusije jikuta danganyika ikidai uhuru kwa mara nyingine....
Huna akili kabisa? Una uthibitisho wowote wa hayo unayosema? Ukiombwa utupe ushahidi wa mwarabu kuuziwa Ngorongoro utautoa?

Au roho mbaya na chuki zako zinakuendesha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…