Hongera RC Chalamila Kwa utumishi uliotukuka Kwa Kupambana na biashara haramu ya ukahaba, LAKINI.....

Hongera RC Chalamila Kwa utumishi uliotukuka Kwa Kupambana na biashara haramu ya ukahaba, LAKINI.....

Kwamba wanafukuzwa sababu hawalipi Kodi?

Ukilipa Kodi unaruhusiwa kufanya ukahaba?

Acha upotoshaji.
Siku ukiona watu wanazuiwa kuingia lodge na hotelini na makahaba ndipo nitakuwa muongo
 
Ukiwa masikini una hasara nyingi sana
Hata bomoa bomoa iliyofanya na kipara enzi zile, ilipita uswahilini mabondeni, ilipofikia kwenye nyumba ya kada Mama Rwakatare mahehemu, zoezi likaishia hapo!!
 
Huko Club patachimbika balaa, japo kuwazuia binadamu siyo kazi rahisi na tayari wanayo plan B
 
Hapo sihusiki hadi siku nikija huko dar....nyie endeleeni na kiki tu ..
 
Back
Top Bottom