Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Nov 4, 2023 #41 Rabbon said: Kwamba wanafukuzwa sababu hawalipi Kodi? Ukilipa Kodi unaruhusiwa kufanya ukahaba? Acha upotoshaji. Click to expand... Siku ukiona watu wanazuiwa kuingia lodge na hotelini na makahaba ndipo nitakuwa muongo
Rabbon said: Kwamba wanafukuzwa sababu hawalipi Kodi? Ukilipa Kodi unaruhusiwa kufanya ukahaba? Acha upotoshaji. Click to expand... Siku ukiona watu wanazuiwa kuingia lodge na hotelini na makahaba ndipo nitakuwa muongo
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Nov 4, 2023 Thread starter #42 Yoda said: Ukiwa masikini una hasara nyingi sana Click to expand... Hata bomoa bomoa iliyofanya na kipara enzi zile, ilipita uswahilini mabondeni, ilipofikia kwenye nyumba ya kada Mama Rwakatare mahehemu, zoezi likaishia hapo!!
Yoda said: Ukiwa masikini una hasara nyingi sana Click to expand... Hata bomoa bomoa iliyofanya na kipara enzi zile, ilipita uswahilini mabondeni, ilipofikia kwenye nyumba ya kada Mama Rwakatare mahehemu, zoezi likaishia hapo!!
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 21,625 Reaction score 33,688 Nov 4, 2023 Thread starter #43 Glenn said: Siku ukiona watu wanazuiwa kuingia lodge na hotelini na makahaba ndipo nitakuwa muongo Click to expand... Una HOJA.
Glenn said: Siku ukiona watu wanazuiwa kuingia lodge na hotelini na makahaba ndipo nitakuwa muongo Click to expand... Una HOJA.
R ruhi JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 4,368 Reaction score 6,661 Nov 4, 2023 #44 Huko Club patachimbika balaa, japo kuwazuia binadamu siyo kazi rahisi na tayari wanayo plan B
Adolph Jr JF-Expert Member Joined Nov 5, 2016 Posts 5,950 Reaction score 9,511 Nov 4, 2023 #45 Hapo sihusiki hadi siku nikija huko dar....nyie endeleeni na kiki tu ..
mirror01 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 1,797 Reaction score 1,391 Nov 5, 2023 #46 Rabbon said: Vp nawe ni mteja wa hao walofukuzwa? Penye Kweli lazima usemwe UKWELI ulivyo, pa kukosoa tunakosoa. Click to expand... Hapana nawewe hata kukugegeda wewe usihofu demu
Rabbon said: Vp nawe ni mteja wa hao walofukuzwa? Penye Kweli lazima usemwe UKWELI ulivyo, pa kukosoa tunakosoa. Click to expand... Hapana nawewe hata kukugegeda wewe usihofu demu