Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nchi iliharibiwa sana aisee kwa siasa za kitotoNawapongeza sana Mhe Rais Samia, hakika ameonyesha kujali maslahi ya Taifa kuliko mbwembwe za kisiasa. hapa nampa marks 100%.
pia Hongera sana Makalla kwa uongozi wako
Baada kusikia wameongezewa siku 12 mpk 30 October wawe wameondoka wote waliyoondoka wanaona wamalizie hzo siku wanarudiJiji linaanza kupendeza.
Bodo mkoa flani unajiita mji kasoro bahari.!
Mji mchafu sijawahi kuona, hivi hawa wakuu wa miji huwa hawatembelei mikoa mingine mfano mkoa wa Iringa.
Mkoa wa Iringa ni msafi nahisi utakua umeupiga gep Moshi kwa sasa.
Asubuhi akirudi hayakuti suma wapo kaziniBaada kusikia wameongezewa siku 12 mpk 30 October wawe wameondoka wote waliyoondoka wanaona wamalizie hzo siku wanarudi
Humohumo akhui 🤣"Pang'ang'a", hiki ni kimatumbi chetu au.....hapa umeniacha njani Jumbe.
Lakini tukumbuke ktk shida ya ajira hao machinga ambao Leo mnafurahia kuwa wamefukuzwa mjini ni vijana graduates ambao wamekosa ajira hawajapenda kupanga vitu barabarani ila ni maisha ....mpango mzima wa hili swala sijaona ukizungumza ni jinsi watawasaidia Hawa machinga warudi ktk hali yao ya kawaida.....Sasa wanaugulia maumivu makali ya kiuchumi na tukumbuke wengine wanafamilia.....na hapo hapo wanasiasa wanazungumza watu wajiajiri .....nyinyi ambao mnafurahia mji kuwa msafi pengine mna ajira zenu maofisini lakn hamuangalii maumivu wanayopitia wenzenu ...jadirini ni kivipi serikari itapunguza tatizo la ajira...kwani magufuri alikuwa ajui kuwa mji ni mchafu alikuwa anajiuliza wanaenda wapi...mnafurahia lakn hamjui impact yake inaweza kuongeza ualifu.....
Utakua unaifahamu Iringa ya miaka ya 90Iringa ipi safi?
Kama usafi ndio huu,basi nahitaji akili mpya kujua uchafu ni nini!
Mwambie kuna wale waha wauza machungwa nwameanza kurudi huku mbezi beach mfno kituo cha shule, makonde na africana.Hakika nimepita leo sikuamini. (CBE) Pia mkuu wetu wa mkoa Hapo karibu na ofisi yako zilipo ofisi za TFF ni machinga lakini pameoza
Jiji letu la Dar es Salaam lazidi kupangika ili shughuli za kijamii na kiuchumi ziendelee vyema kwa ufanisi mkubwa bila kusahau usalama kwa mali za raia wote waishio ndani ya jiji hili kubwa Afrika Mashariki.