official scandal
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 401
- 865
😂Unataka ku verify uzinifu??😄. Serikali haipendi raia wake muendelee kufanya mapenzi, ndio maana mlolongo unakuwa mrefu sana😛Mkuu, Mimi nilikwenda ofisini kwao ku-verify cheti cha ndoa wakanimbia mlolongo wake ni mrefu hpia kuna gharama ya kulipia 50k..
Kwa kweli nilikata tamaa
Kupata cheti kipya cha kuzaliwa cha mtu mzima ni 20k, mtoto mdogo ni 8k, kupata verification ya cheti cha kuzaliwa ni 6k.Mkuu, Mimi nilikwenda ofisini kwao ku-verify cheti cha ndoa wakanimbia mlolongo wake ni mrefu hpia kuna gharama ya kulipia 50k..
Kwa kweli nilikata tamaa
Website haifunguki.Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.
Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.
Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua akaunti, kisha utakwenda kwa huduma unayotaka na kujaza taarifa ikiwemo kuambatanisha vielelezo kadhaa.
Kwenye cheti cha mtoto utahitaji kuwa na walau kadi ya kliniki, tangazo la kizazi, au utambulisho wa mzazi,
Baada ya hapo unapewa control number hapo hapo online, unafanya malipo na kisha wanaanza kushughulikia.
Na uzuri ni kwamba kuna sehemu ya kufuatilia updates ya huduma uliomba hivyo unaona hatua iliyopo na kama ombi lako limekubali.
Hongereni sana, hakuna haja kupoteza muda wala kuongea na wale vishoka na wale wahuni pale RITA Tower
Huduma ya online service inapatikana hapa https://erita.rita.go.tz/
Hongereni sana.
hovyo hawapokei simu nimetuma cheti chamdogo wangu kuhakiki kwa ajili ya loan board wameandika rejected wakati kila kitu kipo sawa na cheti ni cha 2023 napiga simu muda wa kazi toka tareh 10 hadi leo wananipigia tu mzikiPongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.
Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.
Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua akaunti, kisha utakwenda kwa huduma unayotaka na kujaza taarifa ikiwemo kuambatanisha vielelezo kadhaa.
Kwenye cheti cha mtoto utahitaji kuwa na walau kadi ya kliniki, tangazo la kizazi, au utambulisho wa mzazi,
Baada ya hapo unapewa control number hapo hapo online, unafanya malipo na kisha wanaanza kushughulikia.
Na uzuri ni kwamba kuna sehemu ya kufuatilia updates ya huduma uliomba hivyo unaona hatua iliyopo na kama ombi lako limekubali.
Hongereni sana, hakuna haja kupoteza muda wala kuongea na wale vishoka na wale wahuni pale RITA Tower
Huduma ya online service inapatikana hapa https://erita.rita.go.tz/
Hongereni sana.
Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.
Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.
Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua akaunti, kisha utakwenda kwa huduma unayotaka na kujaza taarifa ikiwemo kuambatanisha vielelezo kadhaa.
Kwenye cheti cha mtoto utahitaji kuwa na walau kadi ya kliniki, tangazo la kizazi, au utambulisho wa mzazi,
Baada ya hapo unapewa control number hapo hapo online, unafanya malipo na kisha wanaanza kushughulikia.
Na uzuri ni kwamba kuna sehemu ya kufuatilia updates ya huduma uliomba hivyo unaona hatua iliyopo na kama ombi lako limekubali.
Hongereni sana, hakuna haja kupoteza muda wala kuongea na wale vishoka na wale wahuni pale RITA Tower
Huduma ya online service inapatikana hapa https://erita.rita.go.tz/
Hongereni sana.
Nashindwaga kuelewa,kwanini basi rita wasifungushe ndoa wao ama vyeti viwe vya rita tu mana cheti cha kanisa nhif hawakitambui.Mkuu, Mimi nilikwenda ofisini kwao ku-verify cheti cha ndoa wakanimbia mlolongo wake ni mrefu hpia kuna gharama ya kulipia 50k..
Kwa kweli nilikata tamaa
Wapo kibiashara, halafu wanakosea makusudi herufi ili ukihitaji marekebisho ulipie tena, mfano James wao wanaandika Jomes, utaona hii kwenye cheti kipya siku ya kupokeaNashindwaga kuelewa,kwanini basi rita wasifungushe ndoa wao ama vyeti viwe vya rita tu mana cheti cha kanisa nhif hawakitambui.
Hili jambo lina uwalakini ama ni njia ya rita kujitengenezea fedha
Wanakukabidhi kupitia mfumo au hadi uwende kwenye ofisi zao?Mfumo kwa kweli uko vizuri Sana umepunguza usunbufu
Mimi nilidhani ni utani kumbe kweli within 1 week cheti nimekabidhiwa
aaaah mkuu siyo kwelicheti ni within 4hrs unapata
Na mimi nahitaji kujua hapaWanakukabidhi kupitia mfumo au hadi uwende kwenye ofisi zao?
Ni Kweli Huduma Hiyo Ni Nzuri .Pongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.
Ndani ya siku tatu tu nimeweza kupata cheti cha kuzaliwa, kubadili cheti cha zamani kuwa kipya na kuthibitisha cheti cha mtoto wangu kwa ajili ya usajili NHIF.
Hatua ni rahisi ikianza kwa kufungua akaunti, kisha utakwenda kwa huduma unayotaka na kujaza taarifa ikiwemo kuambatanisha vielelezo kadhaa.
Kwenye cheti cha mtoto utahitaji kuwa na walau kadi ya kliniki, tangazo la kizazi, au utambulisho wa mzazi,
Baada ya hapo unapewa control number hapo hapo online, unafanya malipo na kisha wanaanza kushughulikia.
Na uzuri ni kwamba kuna sehemu ya kufuatilia updates ya huduma uliomba hivyo unaona hatua iliyopo na kama ombi lako limekubali.
Hongereni sana, hakuna haja kupoteza muda wala kuongea na wale vishoka na wale wahuni pale RITA Tower
Huduma ya online service inapatikana hapa https://erita.rita.go.tz/
Hongereni sana.
Hawajakutana na mimi ,nitawawashia moto,wakosee wao nilipie mimiWapo kibiashara, halafu wanakosea makusudi herufi ili ukihitaji marekebisho ulipie tena, mfano James wao wanaandika Jomes, utaona hii kwenye cheti kipya siku ya kupokea
upande wa kuverify cheti toka juzi ukiweka entry no inasema invalid sijui wana tatizo gan aseeeePongezi za dhati kwa mamlaka ya Usajili na Ufilisi RITA kwa kuanzisha huduma hii nzuri ya online.