mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ukiwa na possesion kubwa sana lakini usifanikiwe kupata goli hiyo siyo crediti kwako!! Maana yake ni kwamba hukujua uufanyie nini mpira wakati unakaa nao!! Ukiwa na possesion kidogo sana lakini haukuruhusu goli maana yake ni kwamba unajua kucheza vizuri wakati ukiwa hauna mpira!! hivyo kumnyima kabisa nafasi aliye nao mpira kuufanyia kitu cha maana, hiyo ni CREDIT kubwa sana!!Goal possession, Algeria 80.5%.
Bado nyumbu wanaruka na kukanyagana.
Kwenye mpira wa kisasa unatakiwa ujue jinsi ya kucheza wakati ukiwa na mpira na wakati ukiwa huna mpira!! Taifa stars ni mashujaa sana.