APA CHICAGO
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 259
- 292
Leo ilikuwa kilele cha mbio za Mwenge kitaifa huko Chato -Tanzania.Mwenge wetu wa Uhuru ulizimwa rasmi kule Chato. Masikio ya wanachato yalikuwa kisikia Chato ikipewa hadhi ya kuwa mkoa lakini haikuwa hivyo.
Nideclare interest kuwa Mimi ni mwenyeji wa kanda ya Ziwa na ninajua maeneo mengi huko Geita na Mwanza kwa ujumla wake.
Lakini ninampongeza mhe Rais kwa kufanya maamuzi yenye hekima na busara kwa kuzingatia matumizi sahihi ya rasilimali za nchi yetu.Haikuwa sahihi kwa Chato kupewa hadhi ya mkoa kwani vigezo vya kuwa mkoa haikuwa navyo na hadi sasa haina kabisa pengine hadi huko baadaye miaka kadhaa ijayo.Japo Mimi binafisi ni mwenyeji wa Kanda ya ziwa lakini kwa hili Mhe Rais pokea 100% na HONGERA sana kwa maamuzi haya yenye tija na nchi yetu.
OMBI KWA mhe, Samia Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano.
OMBI langu kwako ni moja tu kwa leo au kwa wasaidizi wako walio TAMISEMI.
Kuna ubazilifu mkubwa wa fedha za umma kwenye miradi inayotekelezwa na serikali hasa katika ujenzi wa hosptali na shule.Mimi niliambatana na Mwenge maeneo ya kanda ya Ziwa mradi mmoja wapo uliokataliwa na kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa ni ujenzi wa hosptali ya wilaya -KATORO, kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa alisema uko chini ya kiwango maana yake Kuna wajanja wametafuna mamilioni ya fedha za walipa kodi wa nchi hii.
Sambamba na hilo nikasikia manung'uniko kuwa Viongozi wa wilaya Geita DC yenye makao makuu yake huko Nzera hasa elimu idara ya sekondari wanatafuna fedha za miradi watakavyo mfano wametumia fedha za likizo za walimu wa sekondari tangu mwaka Jana hawajawhi walipa.Sambamba na hilo kwa sasa shule zikiingiziwa fedha ajili ya maendeleo hasa ujenzi wao ndo wanatafuta mzabuni na kufanya purchasing ya vifaa vyote vya ujenzi ikiwemo kutafuta fundi, uongozi wa shule unaamliwa tu kulipa kwa ajili ya vifaa au fundi.
TAMISEMI na mheshimiwa Rais muitupie jicho halmashauri ya Geita vijijini na halmashauri zote kwa ujumla tutakabidhiwa miradi iliyochini ya kiwango kutokana na Viongozi wapenda rushwa.Nimepata taarifa hizi kutoka huko Geita wakati wa mbio za Mwenge kama yupo kiongozi yeyote yule wa Geita DC akunushe mimi nitakuja na ushahidi maana nimeukusanya wa kutosha, mfano nilipata taarifa rasm walimu wa shule za msingi Geita DC wameshalipwa fedha zao za likizo wote hakuna anayedai mwaka Jana na mwaka huu lakini sekondari hawajalipwa wanadai za mwaka Jana na mwaka huu.
Rais pokea pongezi zangu na ombi langu.