The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Usimuingize Mungu kwenye upumbavu.chaguo la Mungu.
Kumradhi Nielimishe bure. Je, upumbavu ni upi? Ni wako au wangu au wa Samia? Naomba uongeze shetani mwanangu na unisamehe sanaUsimuingize Mungu kwenye upumbavu.
Upumbavu ni kutetea watu kuingiliwa kinyume na maumbile, ufisadi, mauaji.. NkKumradhi Nielimishe bure. Je, upumbavu ni upi? Ni wako au wangu au wa Samia? Naomba uongeze shetani mwanangu na unisamehe sana
Loh, sikuyuaua haya ya kuingiliana kinyume cha maumbile. Wametufikisha hapo!!!Upumbavu ni kutetea watu kuingiliwa kinyume na maumbile, ufisadi, mauaji.. Nk
Bahati nzuri upumbavu huwa unaondolewa, still you have a chance.
Mkuu wamekuingilia lini wanaJF tuandamane?!!!Upumbavu ni kutetea watu kuingiliwa kinyume na maumbile, ufisadi, mauaji.. Nk
Bahati nzuri upumbavu huwa unaondolewa, still you have a chance.
Duh pole kwa kuingiliwa kinyume🧐Upumbavu ni kutetea watu kuingiliwa kinyume na maumbile, ufisadi, mauaji.. Nk
Bahati nzuri upumbavu huwa unaondolewa, still you have a chance.