Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Wewe lazima utakuwa Katibu Mwenezi CCMPunguza jazba jombii, mbona povu Kama lote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe lazima utakuwa Katibu Mwenezi CCMPunguza jazba jombii, mbona povu Kama lote?
Weka ushahidi hapa wa asilimia hiyo 90% kuwa kura za maoni ziligubikwa na rushwa.
Kama mgombea wako hakupata kura ulizozitaka haimaanishi hakubaliki bali alibugi kwenye ushawishi.
Jambo lingine ni kwamba mchakato ulikuwa wa uwazi na bado taratibu za kupata wagombea zinaendelea
Ushaidi baada ya matokeo baadhi ya wagombea wanadondoka ukumbini kwa kura kuto tosha angalia uwt viti maalumu ni hatari! Wanafikiria gharama, mwingine Stive Nyerere, anasema ubwabwa wamekula kura sita! Unataka zaidi?Weka ushahidi hapa wa asilimia hiyo 90% kuwa kura za maoni ziligubikwa na rushwa.
Kama mgombea wako hakupata kura ulizozitaka haimaanishi hakubaliki bali alibugi kwenye ushawishi.
Jambo lingine ni kwamba mchakato ulikuwa wa uwazi na bado taratibu za kupata wagombea zinaendelea
Hakuna mchakato wa kura za maoni ulijaa rushwa kama wa mwaka huu, ni aibu ya vizazi vyote.Ndugu zangu, salamu.
Napenda kuchukua fursa hii kukishukuru chama changu kwa kuendesha vizuri mchakato wa kura za maoni kwa ngazi ya majimbo na viti maalumu. Ni imani yangu kuwa michakato mingine itaendelea vyema kwa ngazi zinazofuatia.
Ninajua zipo changamoto ndogondogo za madai ya rushwa, ukiukwaji wa taratibu n.k ila kwa leo sio lengo langu kujadili changamoto hizo. Itoshe kusema kuwa CCM imejiwekea utaratibu mzuri wa kushughulikia changamoto hizo na ndio maana mchakato utaenda mpaka ngazi ya taifa. Hongera sana CCM.
Sisi wote ni mashahidi wa utitiri wa watia nia ya ubunge kwa tiketi ya CCM. Ona mafukara, matajiri, wasanii, wasomi na wasio wasomi ukimiminika majimboni. Wavivu wa kufikiri wanaweza kumchukulia kirahisi, wenyewe wanasema poa hali hi ila kwa watu werevu hili ni jambo fikirishi. Usione vyaelea, vimeundwa.
CCM ipo, itaendelea kuwepo na kushinda chaguzi kwasababu ni chama kilichopo mioyoni mwa watanzania. Hi ni kwasababu moja tuu, CCM ni chama kinachojifanyia tathimini na kukumbatia mabadiliko chanya kutokana na wakati.
Ilikuwa vigumu sana hapa juzi Kati kwa mwanaCCM wa kawaida, asiye na pesa kupata fomu na kutia nia ya ubunge. CCM ikakaa na kutathimini, ikaja na utaratibu wa sasa na motokeo tumeyaona. CCM imeonesha kuwa inapendwa na makundi yote. Wakati Kuna vyama vinatafuta wagombea, hali ni tofauti kwa CCM. Makumi kwa mamia walijitokeza.
Hi sio bahati mbaya, uongozi mzuri umeleta haya. Hongera mwenyekiti wa CCM taifa na Rais wa JMT Dr. ndugu John Magufuli na viongozi wote akiwemo mzee Mangula, komredi Dr Bashiru, ndugu Polepole, ndugu Heri n.k. CCM imeimarika zaidi katika uongozi wenu.
Tunawatakia heri na fanaka katika kazi iliyo mbele yenu. Tutashiriki kwa hali na mali katika kampeni na kuhakikisha CCM sio tuu inapata ushindi bali inapata ushindi wa kishindo kizito.
Vijana, wazee na akina mama ambao sio wanaCCM, karibuni CCM, karibuni sehemu salama
#tukutanekwenyekampeni
Huwezi kumaliza matatizo yako kwa kujiaminisha kuwa hayapo.CCM NYIE NI BURE KABISA. LEO ZAIDI YA MIAKA 50 TUMEWAPA NAFASI YA KUTAWALA ILI MTUONDOE KWENYE UJINGA, MARADHI NA UMASKINI LAKINI WEWE BADO UNAFURAHIA UWEPO WA MAFUKARA WANAOHANGAIKA KUGOMBEA UONGOZI NDANI YA NCHI KUPITIA CHAMA CHAKO!
KWA HIYO WEWE UNAPOONA MAFUKARA WAKUMIMINIKA MAJIMBONI KUSAKA UONGOZI UNAFURAHI? WACHAWI WAKUBWA NYIE CCM