Hongera sana CCM kwa mchakato wa kura za maoni

Baambie bamutu.

Hawa ile nadharia ya some swali, elewa swali, jibu swali imewapita mbali.

Wanalisha watu maneno. Binafsi ninachukia rushwa kwa vitendo. Rushwa ni adui wa haki.

Tumesema hapa kuwa "kuna changamoto ndigot za MADAI ya rushwa" hawaelewi hata maana ya madai. Wenyewe wsmeshafanya hitimisho.

Ushauri wangu wote walioona, kusikia au kuhisi vitendo cua rushwa kwenye mchakato wa kura za maobiy, tafadhali watoe taarifa sehemu husika badala ya kulalamika mitandaoni.

Hatua zifuatazo zinalishughulikia hilo na wote watakaobanika, hakika kufyekwa watafyekwa
 
CCM NYIE NI BURE KABISA. LEO ZAIDI YA MIAKA 50 TUMEWAPA NAFASI YA KUTAWALA ILI MTUONDOE KWENYE UJINGA, MARADHI NA UMASKINI LAKINI WEWE BADO UNAFURAHIA UWEPO WA MAFUKARA WANAOHANGAIKA KUGOMBEA UONGOZI NDANI YA NCHI KUPITIA CHAMA CHAKO!

KWA HIYO WEWE UNAPOONA MAFUKARA WAKUMIMINIKA MAJIMBONI KUSAKA UONGOZI UNAFURAHI? WACHAWI WAKUBWA NYIE CCM
 
Ushaidi baada ya matokeo baadhi ya wagombea wanadondoka ukumbini kwa kura kuto tosha angalia uwt viti maalumu ni hatari! Wanafikiria gharama, mwingine Stive Nyerere, anasema ubwabwa wamekula kura sita! Unataka zaidi?
 
Hakuna mchakato wa kura za maoni ulijaa rushwa kama wa mwaka huu, ni aibu ya vizazi vyote.
 
Huwezi kumaliza matatizo yako kwa kujiaminisha kuwa hayapo.

Ukweli ni kuwa mafukara wa kipato wapo I'll serikali imejitahidi na inaendelea na jitihada za kupunguza pengo la walio nacho na wasio nacho

Kutokana na utaratibu mzuri, tumeona kundi hili likishiriki sana kipindi hiki. Changamoto ni kitu cha kawaida. Muhimu ni kushughulikia changamoto hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…