Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Kwa mara ya kwanza maishani Leo nampongeza kiongozi kutoka CCM yaani DC wa Muheza.
Amejitofautisha Sana na viongozi wenzake kwenye masuala ya msingi.
Amekemea uongozi wa TrRA wilaya Kwa jinsi wanayovyofanya maonevu na kuwadharau wateja na jeuri juu.
Naomba tumsikilize na tujaribu kuwajadili hawa TRA kwa jumla wao.