Kwa mara ya kwanza maishani Leo nampongeza kiongozi kutoka ccm yaani DC wa muheza.
Amejitofautisha Sana na viongozi wenzake kwenye masuala ya msingi.
Amekemea uongozi wa Tra wilaya Kwa jinsi wanayo fanya maonevu na kuwqdhqru wateja na jeuri juu.
Naomba tumsikilize na tujaribu kuwajadili hawa Tra kwa jumla wao.