Hongera sana Diamond, kwa live band hii umeleta kitu kipya

Hongera sana Diamond, kwa live band hii umeleta kitu kipya

Kwanza nakupongeza kwa kununua kifaa kimoja kimoja mpaka ukakamilisha bend, umeweza kumiliki bend yako mwenyewe yenye kila kitu.
Umeanza kuperform live band ya bongo fleva yenye ubunifu
Wasanii wengi wa bongo fleva wanaopiga live band wanafanya bongo fleva bolingo.

Yaani nyimbo za bongo fleva zinapigwa kwenye muundo wa bolingo kutokana na ukosefu vifaa ya kisasa, hasa wengi wao wakitegemea vifaa vya THT.
Show yako ya juzi ulipiga Zanzibar ilikuwa classic hakukuwa na bolingo ukiisikia number one ikipigwa live haina tofauti na ya kwenye CD,

Kiingilio cha 35,000 na 50, 000 pesa ilienda halali kapiga.
Nyimbo ya mbagala uliimba kwa mahadhi ya kipekee na ilikuwa romantic sana
Hongera sana kijana kwa kuwa makini na kazi yako

Nakumbuka show kama hyo aliwah kuipga nchini burundi...........

Nadhan wale wakuonge ovyo watakuw wamejfunza kitu jamaa anafanya vitu vikubwa sana...............

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Nakumbuka show kama hyo aliwah kuipga nchini burundi...........

Nadhan wale wakuonge ovyo watakuw wamejfunza kitu jamaa anafanya vitu vikubwa sana...............

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
Diamond ni mtu wa kujipanga hafanyi kazi kwa kulipua
 
Awali ya yote nampa hongera sana kwa kazi nzuri ingawa sijabahitika kuiona hiyo show,hongera sana bila shaka ilipendeza sana..
Wewe mama bhoke embu rete rigaroni la rungu hapo nijipongeze kwa rikazi murua la mwanetu wa dirasalama
 
Nakumbuka show kama hyo aliwah kuipga nchini burundi...........

Nadhan wale wakuonge ovyo watakuw wamejfunza kitu jamaa anafanya vitu vikubwa sana...............

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
akina nan ao wataje
 
Back
Top Bottom