Hongera Sana FaizaFoxy, Mshindi wa U-miss JF 2023/2024

Nimefurahi sana kuona FaizaFoxy kashinda.

Sio kwamba nampenda sana (japo kweli nampenda), lakini ushindi wake ni PIGO LA KWENYE KOMWE dhidi ya wale warembo uchwara wa JF ambao wamezoea kujidekeza na kushinda kila shindano bila vigezo.

Nilikuwa nashangaa sana inakuwaje kila shindano majina ni yale yale!!! Sasa wamekomeshwa kisayansi!

Asante samia.
 
Mnauhakika kura hamjachanganya ID...?
 
Uzee ni dawa siyo ugonjwa:

Chukulieni nukuu hii ni mimi niyasemayo👇🏾👇🏾👇🏾

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…