Nakupongeza sana Fr. Kitima kwa kutoa Elimu ya Uraia kwa Waamini wako. Waamini wengi hawajihusishi na Siasa kwa kudhani kwamba ni dhambi, kumbe sivyo.
Tunapoelekea kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu na uchaguzi Mkuu mwakani, Elimu hii inapaswa kutolewa na viongozi wote wa Dini katika nyumba zao za Ibada.
Nimepita kule X, nikakutana na mtu mmoja anasema eti, kitendo cha Fr. Dk. Kitima kutoa Elimu ya Uraia ni uhaini, nikajua tu kwamba huyu ni MPUMBAVU kama walivyo WAPUMBAVU wenzie tu.
Tangu lini kutoa Elimu ya Uraia ikawa uhaini? Lakini ni Sheria ipi inasema kutoa Elimu ya Uraia ni uhaini?
Nasisitiza, Viongozi wa Makanisa na Misikiti yote wanapaswa kutoa Elimu hii ya Uraia kwa juhudi zote.
Mimi naamini, kupitia Elimu hii ya Uraia, tutaweza kupata Wagombea na Wasimamizi wa uchaguzi walio bora zaidi.
Nawasilisha.