Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,561
Mimi ni shabiki wa Simba maana watu hawakawii kukuita Yanga, utopolo n.k.
Simba chini ya Babra na Mo walimfanyia Haji Figisu and Vice Versa( kila mmoja anamtuhumu mwenzake).
Baada ya Haji kuona hivyo akaamua amwage mboga, at the same time upande wa Yanga wakaendelea kumpandia dau ili kuwakomesha watani zao Simba.
Hivyo Basi, kupitia upinzani wa Simba na Yanga, Haji ameenda kuchuma hela nyingi zaidi ya alizokuwa akizipata akiwa Simba.
Kama waajiri wake wa Mwanzo walidhani wanamkomoa haji , matokeo yake wamempiga Chura Teke, kaenda kuchukua mzigo mrefu zaidi ya aliokuwa akiupata Simba at the same anaendelea na matangazo yake ya Azam ( Mungu akupe nini).
Mimi kama Shabiki wa Simba ambaye naamini katika maendeleo na sio dhana ya utumwa nampongeza Haji kwa kuwa ametumia matatizo yake na Simba kutengeneza Fursa kuongeza kipato chake yeye na familia yake.
Hata Ningekuwa mimi nisingeacha hizo hela za Yanga burebure ili nionekane nilikuwa sahihi kushinda Mo ambaye yeye ni Tajiri na anaendelea kuvuna hela maisha yake yote wakati usemaji ni suala la muda tu halafu mimi niishie kusifiwa na wajinga wachache wasiotambua maana ya fursa.
Hongera Haji.
N. B. Simba tunachukua ubingwa.