Hongera Sana Haji kwa akili zako nyingi

Hongera Sana Haji kwa akili zako nyingi

Randy orton

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2019
Posts
1,338
Reaction score
3,561
Mimi ni shabiki wa Simba maana watu hawakawii kukuita Yanga, utopolo n.k.

Simba chini ya Babra na Mo walimfanyia Haji Figisu and Vice Versa( kila mmoja anamtuhumu mwenzake).

Baada ya Haji kuona hivyo akaamua amwage mboga, at the same time upande wa Yanga wakaendelea kumpandia dau ili kuwakomesha watani zao Simba.

Hivyo Basi, kupitia upinzani wa Simba na Yanga, Haji ameenda kuchuma hela nyingi zaidi ya alizokuwa akizipata akiwa Simba.

Kama waajiri wake wa Mwanzo walidhani wanamkomoa haji , matokeo yake wamempiga Chura Teke, kaenda kuchukua mzigo mrefu zaidi ya aliokuwa akiupata Simba at the same anaendelea na matangazo yake ya Azam ( Mungu akupe nini).

Mimi kama Shabiki wa Simba ambaye naamini katika maendeleo na sio dhana ya utumwa nampongeza Haji kwa kuwa ametumia matatizo yake na Simba kutengeneza Fursa kuongeza kipato chake yeye na familia yake.

Hata Ningekuwa mimi nisingeacha hizo hela za Yanga burebure ili nionekane nilikuwa sahihi kushinda Mo ambaye yeye ni Tajiri na anaendelea kuvuna hela maisha yake yote wakati usemaji ni suala la muda tu halafu mimi niishie kusifiwa na wajinga wachache wasiotambua maana ya fursa.

Hongera Haji.

N. B. Simba tunachukua ubingwa.
 
Pesa ni muhimu sana katika maisha ya sasa...
 
Sema cha kumshauri ni kwamba anapokwaruzana na mwajiri wake mpaka kufikia hatua ya kuondoka basi madhaifu ya mwajiri wake wa dhamani hayafai kuyatangaza hii itasaidia kulinda heshima yake maana huwezi jua mtu ambaye atakuajiri tena anataka Mtu as aina gani.
 
Kama waajiri wake wa Mwanzo walidhani wanamkomoa haji , matokeo yake wamempiga Chura Teke, kaenda kuchukua mzigo mrefu zaidi ya aliokuwa akiupata Simba at the same anaendelea na matangazo yake ya Azam ( Mungu akupe nini).
Mkuu, ajira za vilabu vya soka sio ya kudumu kama ambavyo unataka ionekane. Jiulize, katika miaka sita ambayo Manarakama msemaji, wamepita makatibu wangapi? waweka hazina wangapi? makocha wangapi? Naweza kusema sina kumbukumbu kama hivi karibuni kuna mwajiriwa wa vilabuni waliodumu miaka mingi kama Manara. Kwa mantiki hii, kuondolewa kwake Simba isichukuliwe kuwa ni 'kukomolewa' kama ulivyosema, maana klabu nayo ina vision zake
 
Haji kasema wazi kaletewa ofa kama nane kaona aende Yanga,hii inaonyesha wazi hana mapenzi na Yanga.
Kasema wazi hana tatizo na Simba,hivyo Simba wakijipanga wanaweza kumtumia vema hata akiwa hukohuko Yanga.pia kasisitiza yeye anapenda mataji, inamaana Yanga wakikosa mataji ataichukia club ama?, jambo ambalo kwenye michezo kukosa ubingwa huwa linaweza kutokea.
Mwisho kajikweza kuwa yeye ni mkubwa hivyo Yanga wajue wamempokea mtu mkubwa kuliko club.
 
Nafikiri haujamuelewa vizuri haji mkuu.

Em irudie tena kuiangalia ile video.

Pia wakati ukiwa unachambua weka ushabiki pembeni,hii itasaidia kupembua vitu kwa uzuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utopolo mtupu.
Huwezi kuwa Simba wewe
Mimi ni shabiki wa Simba maana watu hawakawii kukuita Yanga, utopolo n.k.

Simba chini ya Babra na Mo walimfanyia Haji Figisu and Vice Versa( kila mmoja anamtuhumu mwenzake).

Baada ya Haji kuona hivyo akaamua amwage mboga, at the same time upande wa Yanga wakaendelea kumpandia dau ili kuwakomesha watani zao Simba.

Hivyo Basi, kupitia upinzani wa Simba na Yanga, Haji ameenda kuchuma hela nyingi zaidi ya alizokuwa akizipata akiwa Simba.

Kama waajiri wake wa Mwanzo walidhani wanamkomoa haji , matokeo yake wamempiga Chura Teke, kaenda kuchukua mzigo mrefu zaidi ya aliokuwa akiupata Simba at the same anaendelea na matangazo yake ya Azam ( Mungu akupe nini).

Mimi kama Shabiki wa Simba ambaye naamini katika maendeleo na sio dhana ya utumwa nampongeza Haji kwa kuwa ametumia matatizo yake na Simba kutengeneza Fursa kuongeza kipato chake yeye na familia yake.

Hata Ningekuwa mimi nisingeacha hizo hela za Yanga burebure ili nionekane nilikuwa sahihi kushinda Mo ambaye yeye ni Tajiri na anaendelea kuvuna hela maisha yake yote wakati usemaji ni suala la muda tu halafu mimi niishie kusifiwa na wajinga wachache wasiotambua maana ya fursa.

Hongera Haji.

N. B. Simba tunachukua ubingwa.
 
Mkuu, ajira za vilabu vya soka sio ya kudumu kama ambavyo unataka ionekane. Jiulize, katika miaka sita ambayo Manarakama msemaji, wamepita makatibu wangapi? waweka hazina wangapi? makocha wangapi? Naweza kusema sina kumbukumbu kama hivi karibuni kuna mwajiriwa wa vilabuni waliodumu miaka mingi kama Manara. Kwa mantiki hii, kuondolewa kwake Simba isichukuliwe kuwa ni 'kukomolewa' kama ulivyosema, maana klabu nayo ina vision zake
Hajaondoka kwa consensus ya pande zote
 
Sema cha kumshauri ni kwamba anapokwaruzana na mwajiri wake mpaka kufikia hatua ya kuondoka basi madhaifu ya mwajiri wake wa dhamani hayafai kuyatangaza hii itasaidia kulinda heshima yake maana huwezi jua mtu ambaye atakuajiri tena anataka Mtu as aina gani.
Hili nalo neno
 
Haji kasema wazi kaletewa ofa kama nane kaona aende Yanga,hii inaonyesha wazi hana mapenzi na Yanga.
Kasema wazi hana tatizo na Simba,hivyo Simba wakijipanga wanaweza kumtumia vema hata akiwa hukohuko Yanga.pia kasisitiza yeye anapenda mataji, inamaana Yanga wakikosa mataji ataichukia club ama?, jambo ambalo kwenye michezo kukosa ubingwa huwa linaweza kutokea.
Mwisho kajikweza kuwa yeye ni mkubwa hivyo Yanga wajue wamempokea mtu mkubwa kuliko club.
Hahaha
 
Back
Top Bottom