Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Salamu sana wana jamii wote.
Nitakuwa sijawatendea haki wamiliki wa hosp ya Kairuki iwapo nitakaa kimya.
Iko hivi, hii wiki niliugua homa kali ambayo ilinilazimu kwenda hospital. Kwa kuwa nilikuwa jirani na hosp ya ccbrt nikaamua niende pale ili kupata huduma ya kwanza. Nilikutaa na nesi au mhudumu katili sana pale ccbrt akasema hapa umechelewa namba. Nenda kwa Kairuki au Regency. Kweli nilijisikia vibaya mtu kurudishwa hosp hapo ni kama saa nne asubuhi.
Niliamua kwenda kwa Kairuki. Nilikutana na watu wa karimu sana. Nilijiandikisha na kuambiwa niingie chumba na 19.
Kairuki ameweka mtandao wa komputa hautembee na faili. Hongera sana Kairuki.
Natamani hospital zote wangeiga mfano wa Kairuki.