Hongera sana hospital ya KAIRUKI

Hongera sana hospital ya KAIRUKI

Mamndenyi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
43,242
Reaction score
60,939
Salamu sana wana jamii wote.

Nitakuwa sijawatendea haki wamiliki wa hosp ya Kairuki iwapo nitakaa kimya.

Iko hivi, hii wiki niliugua homa kali ambayo ilinilazimu kwenda hospital. Kwa kuwa nilikuwa jirani na hosp ya ccbrt nikaamua niende pale ili kupata huduma ya kwanza. Nilikutaa na nesi au mhudumu katili sana pale ccbrt akasema hapa umechelewa namba. Nenda kwa Kairuki au Regency. Kweli nilijisikia vibaya mtu kurudishwa hosp hapo ni kama saa nne asubuhi.

Niliamua kwenda kwa Kairuki. Nilikutana na watu wa karimu sana. Nilijiandikisha na kuambiwa niingie chumba na 19.

Kairuki ameweka mtandao wa komputa hautembee na faili. Hongera sana Kairuki.

Natamani hospital zote wangeiga mfano wa Kairuki.
 
Unaendeleaje sasa? Umepona kabisa?Cha muhimu ni hiyo afya yako kwanza hayo matangazo waachie wamiliki wa hospitali
 
Ni kweli wapo vizuri na wagonjwa ni wengi.Ila waache mambo ya kukaa kwenye vile vikao vya asubuhi kwa muda mrefu.Haiwezekani kutoka SAA moja na nusu hadi SAA Tatu na nusu Wakawa bado wapo kwenye kikao tu
 
Back
Top Bottom