Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV, lakini TBC na Vyombo vingine vinadhulumu historia ya Taifa hili

Uchaguzi 2020 Hongera sana ITV, lakini TBC na Vyombo vingine vinadhulumu historia ya Taifa hili

Wanafurahisha sana hawa jamaa, siku si nyingi utawasikia wakiitukana ITV humu, mark my words!
Wakifanya mema watapongezwa, wakivurundwa watapewa vidonge vyao. Hiyo ndiyo inatakiwa sio kila kitu kupiga makofi hata wakikosea.
 
Ayoub Ryoba ni mshikaji wetu zamani zile, tukipata moja Moto moja baridi pale bar ya Maryland Mwenge, alikuwa critic sana kwa serikali namshangaa alipoteuliwa amepiga dramatic u turn, siyo mwenzetu tena.
Ukishaona hivyo ujue tumbo ndio tatizo na sio uzalendo. Yupo kimaslahi zaidi.
 
Natamani cloudssm nao katika kipindi kimoja cha weakness breakfast wakina KIPAKA wamhoji huyu mgombea!
 
Ayoub Ryoba ni mshikaji wetu zamani zile, tukipata moja Moto moja baridi pale bar ya Maryland Mwenge, alikuwa critic sana kwa serikali namshangaa alipoteuliwa amepiga dramatic u turn, siyo mwenzetu tena.
Njaa hunena na shibe huongea
 
Hakika ITV mmedhihirisha kuwa ni chombo huru cha habari angalau kwa vigezo vya nchi zinazoendelea ambapo mara nyingi uhuru wa habari hutiwa kitanzi.

katika kipindi hiki cha kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania ITV imekuwa ndio kimbilio la wote wanaotaka habari huru zisizochakachuliwa oka kwa wagombea wote. Heshima kwenu!!!

Natamani, laiti kodi yangu ingeelekezwa kwenu tofauti na TBC ambayo ukiiangalia unapata kichefu-chefu kwa kugeuka kuwa chombo cha chama tawala ilhali chama kina TV yake, Channel Ten.

Narudia tena, heshima kwenu ITV!!
 
Mojawapo ya jambo tunatakiwa kufanya ni kuvunja hii bodi ya TBC na kuweka watu kwa misingi ya uwezo na sio uanachama. Na ajira zitangazwe wazi na sio kupachika pachika watu wa hovyo kwenye shirika letu wanainchi.
 
EBO SI MLIFURAHIA WALIPOFUKUZWA LEO MNALIA TENA HAHAHAHA ETI WANAKUSIFUA HAUKO BIAS EAKATI UNAONEKANA KABIS BAVUCHA MAAANA UNAHUBIRI LISSU TU KWANI LIPUMBA HUMWONI. TULIENI DAWA IWAIINGI KAMA HAMWANGALIU TBC MTAMSHUDIA MAGU AKIAPISHWA HUKOHUKO ITV
 
Kaka, Kiafrika Afrika wanasema unapokula hutakiwi kuongea, kwa sababu kinywa chako kinakua kimejaa msosi. Utaongeaje kwa mfano? This theory applies to Ryoba, Kitila Mkumbo, Katambi, Kafulila nk. Walipopata nafasi ya kula keki ya taifa wakasahau kwamba walikuwa critics wa serikali.
Malaya wa aina hiyo nani atawaamini tena.
Hawa waondoke na Magufuli na wasisikike tena.
Mtu huwezi kutupa msimamo unaouamini kwa sababu tu umejazwa mdomo. Chukulia chombo cha wananchi kama TBC, utakubali vipi kukifanya kiwe mali ya chama cha siasa?
 
Back
Top Bottom